Manchester United (Red Devils) | Special Thread

From ...... .......



to ..... .....



Guadi hola







frozen out .... ....



Mancs take revenge in Manure toilets .... ......



The disgruntled supporters caused plenty of damage as they lost in the EFL Cup clash​
 
Ni wale makauzu wachache ndio utawaona ila pana wengine waungwana huja na kutoa pole za dhati wengi wao hata tukishinda wenyewe huponda tu mara tumebahatisha mara tumebebwa hawawi sawa hata siku moja.

Bora sisi Tunaoamua Kuponda Timu Yenu Directly Kuliko Yule Anayewapa Pole Ya Kinafiki....!
Asikudanganye Mtu, Hakuna Shabiki Wa Arsenal au Liverpool Hata Mmoja Anayewaombea Mema Man U! Wala Hakuna Shabiki Wa Man U anayeiombea Mema Liverpool!! Sasa Unataka Pole Ya nini...?

Sisi Huwa Tunawaongelea Mnapofungwa Kwasababu Mukishinda Mechi Moja Tu Huwa Munaanza Kujisifu Na Kuamini Kuwa Timu Yenu imeshatengenea! Kwamfano Mechi Ya Jana tu Kushinda Basi Comments Kibao Humu Zinatangaza Kuwa Sasa Hamukamatiki Timu yenu imeshakaa Sawa na Munaekuta Mbele Munagonga tu..
Kuweni Serious Timu Haipimwi uwezo Wa Kuangalia Mechi moja uliyoshinda!!! Mwaka 2000 Chelsea Alimpiga Man U Goli 5 kwa 0 na Still Man U kachukua Ubingwa! Wala Chelseaa Hakuchukua Ubingwa Kwa Ushindi Wake Wakumfunga Man U.
 

Kumbe Sio Bongo tu! Hata Ulaya Yako Haya!!!! Simba Mara Nyengine Ondokeni Na Magoli Kabisa..

😀😀😀😀😀
 
View attachment 424800

Jamaa inaelekea hatosahau hii results last week. Hapa ni katika mechi vs Man City masaa machache yaliyopita. Inaelekea anawakumbusha wachezaji wake juu ya kilichowatokea.
Msaga sumu wewe ni kiwango cha kipekee...umefanya makusudi kuacha picha inayofuata, hii hapa

Ambapo Jose alifanya ishara ya kuwaomba mashabiki msamaha kwa kipigo cha goli 4 bila.
 

Attachments

  • IMG_2600.JPG
    87.4 KB · Views: 31
[HASHTAG]#HaterAlert[/HASHTAG] Aisee kaka, mbona unajiumiza nafsi yako namna hiyo? Usaga sumu wako utakupa magonjwa bure...you haters said United ain't gonna win any cup after SAF. Guess what, United won FA Cup last year. Now you are changing the narrative and wishind us to be Liverpool. And you are a fan of what team? Gooners Actually Liverpool has been winning championships; they haven't won the Premier league only. If you brag (over Liverpool) about EPL, they will brag (over Gooners) about UCL and Europa....I guess you won't brag (over United) about anything, will you?
 
Kuhusu lahaja yako bora umetuweka wazi kwa kusema weye mzanzibari.
Tukirudi penye mada ni kweli uyasemayo kuwa bora anaeponda kuliko kutoa pole ya kinafiki ila kumbuka kuna wanamichezo ambao huweka ushabiki pembeni na kuongea au kushauri au kutoa pole isiyo na kejeli hao ndio wanamichezo na wanaujua mchezo. Kuhusu mashabiki wengine ni kweli pande zote huandika kwa kupitiliza hilo sio jambo geni kwa mashabiki wa timu zetu hizi kuhusu kuombeana mabaya hilo mbona liko wazi adui yako unaanzaje kumpenda Shukran tuendelee kushabikia timu zetu kwa amani rafu ndogo ndogo zipo ila uelewa ndo tunatofautiana hupelekea mpaka wengine kuvuka mipaka ahsante sana mtani unazidi kukaribishwa kwetu.
 
Wala Hakuna Shabiki Wa Man U anayeiombea Mema Liverpool!! Sasa Unataka Pole Ya nini...?.
Nitaiombea mema Loserfools pale itakapokuwa kwenye nafasi ya kuisaidia United kufanikiwa katika jambo fulani. Kwa mfano, ikiwa Loserfools wataifunga timu fulani na kupelekea United kuchukua ubingwa ama kupata nafasi ya kushiriki UCL, hakika nitaiombea Loserfools.
 
Woyooooo
 



mi mwenyewe napenda iwe hivyo lakin hawa jamaa hawakubaliani na hilo wapo tayar kutumia pesa yoyote ktk timu yao hadi itakapo kaa sawa tatizo brand yao na ukubwa wa timu na mikataba minono ya kibiashara wataendelea kusajili kukwepa kupoteza dili zao za kibiashara had timu yao iwe sawa wangekuwa hawana pesa kweli wangesota hapo ndipo wanaponikatisha tamaa hata wakimtaka ozil kwa pesa yoyote wakiamua wanamdaka hawa jamaa wananikera sana.
 
Chama kubwa Man U
wew shabiki unaejitambua sana
 
Pole sana. itabidi uishangilie Man u tu usikereke
 
mkuu Idimi tunashukuru sana kwa kutuanzishia thread ya timu yetu pendwa manchester united, ombi langu kwako naomba utubadilishie hiyo picha hapo juu na utuwekee hii mpya ya msimu huu, japokua kombe la FA silioni, au van gaal atakua aliondoka nalo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…