Manchester United (Red Devils) | Special Thread



kifupi mourinho kafika lazima tumsapot hakuna timu isiyopitia kipindi kigumu cha mpito
 

SAF alipoichukua Man U aliikuta Katika Wakati Mgumu wa Ukame Wa Makombe! Kwahiyo inakubalika Kuwa Aliitengeza Timu From Non competent to Competent one...
Lakini Huyuhuyu SAF kaiwacha timu ikiwa Ya ushindani iliyokwisha Kutengenea! Sasa Hii Kauli Ya Kuwa Makocha Waliofuata Wanatengeza Timu si ubabaishaji huu?? Je Conte Na yeye Anatengeza timu, Klopp, Gurdiola nao Wanatengeza Timu?

Acheni Kujipa False Hope Kuwa Mou anatengeza Timu eti Muko Katika Transitional Period!! Mou anaendeleza Pale Alipopakuta.. Kusaini Ibra na Pogba Haimaanishi Kuwa Ndiyo Kipindi Cha Mpito! Hiyo Ni Kawaida Ya Makocha Wote Wanaata Ajira Mpya ni Lazima Waanze Na Mkwala wa Kufanya Usaini.
 
Wako wapi vishkwambi
Mwambien pep ile ndio epl
Kila siku nilikua nasema pep hajanishashi kua ni kocha nzuri, alikua anajificha kwenye timu bora ndani ya ligi ambazo hazina ushindani, barcelona na bayen munichen hata ukinipeleka mimi niwe kocha ntafanya vizuri
 
Tuwekee na winning ratio ya makombe then compare na mr bean
Kinachowauma ni kuukataa ukweli kua mafongo identity ilitoweka alipoondoka SAF, sasa mmebaki kulia lia mkijipa imani bado mnaukubwa na ubora ule wa babu
kitu ambacho sio kweli na hakitakua kweli. Ukweli huu ndio utasababisha Mfukuze makocha hovyo na kununua wachezaji hovyo mnaoshindwa kuwatumia mfano mzuri ni DI MARIA na POGBA., endeleeni kujipa moyo kua mtarudia zama zile.

Nawatakia heri katika kujisahaulisha kua zama zenu zimepita nafikiri sasa mtaelewa kwanini LIVER POOL walibadilisha makocha na kupitia wakati mgumu kiasi hicho lakini sasa ndio wanarudi.

Wengi mtalea mpaka wajukuu manchester kurudi kwenye form jipeni moyo
 
Kila siku nilikua nasema pep hajanishashi kua ni kocha nzuri, alikua anajificha kwenye timu bora ndani ya ligi ambazo hazina ushindani, barcelona na bayen munichen hata ukinipeleka mimi niwe kocha ntafanya vizuri
Nishasema na nitaendelea kusema man city ni timu ya kawaida sana ila benchi la ufundi ni sumu
 
Hivi inamaana City na Chelsea walishindwa kustrategize kabisa?
Unashinda EPL ila unafungwa mashindano mengine.
Na hiyo EPL ni marathoni pia, hawawezi jua pumzi itakatikia wapi.
Tukutane May, 2017.
tena Chelsea katolewa na Westham.
 
Nishasema na nitaendelea kusema man city ni timu ya kawaida sana ila benchi la ufundi ni sumu
Ndo aifanye itishe sasa kama zinavotisha barca na munichen, hapo itakua ameprove kama yeye ni kocha bora
 
Ndo aifanye itishe sasa kama zinavotisha barca na munichen, hapo nitakua ameprove kama yeye ni kocha bora
munich na barca kule alizoea kukusanya vipaji kutoka timu zingine za ligi tena kwa bei chee na wachezaji wakiiona Bayern au barcelona kama ndo timu ya ndoto zao, huku uingereza maskini jeuri timu ndogo ukigusa mchezaji utakimbia bei na wachezaji wanaiona city sio timu ya ndoto zao
 
Mbona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe, post yako ilikua inamuhusu mou alafu we unaleta habari za S. A. F,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…