Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongereni Wakuu humu. Huyu jamaa Pep Guardiola mwache aambulie vipigo tu sijapenda kabisa jinsi anavyomnyanyasa Yaya Toure.

Juzi ameanza kujikanyagakanyaga juu ya Toure. Muda si mrefu tutamuona akimpanga Toure hata bila apology toka kwa agent wa Toure na toka kwa Toure mwenyewe. Subiri Citey wawe wa 2 au 3 katika ligi utaona atakavyofyata. EPL sio La Liga au Bundesliga.
 


Moureen amkuwa mpole kama kuku aliyenyeshewa na mvua
khe khe khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Juzi ameanza kujikanyagakanyaga juu ya Toure. Muda si mrefu tutamuona akimpanga Toure hata bila apology toka kwa agent wa Toure na toka kwa Toure mwenyewe. Subiri Citey wawe wa 2 au 3 katika ligi utaona atakavyofyata. EPL sio La Liga au Bundesliga.

Gurdiola Baada Ya Kushinda Vile Vijimeche Vya Mwanzo Alianza Kiburi Pale Alipohojiwa Na Mwandishi Kwenye Press Conference Kuhusu anavyoiona EPL!!!!
Kwa Jeuri Alijibu Kuwa Ligi Kuu Ya Uingereza ni Ligi Nyepesi Sana na Haina Ugumu wowote, Ya Kawaida tu Wala Haiizidi Bundes Liga na La Liga Kwani Hizo Ndiyo Ligi Ngumu Tofauti Na Watu Wanavyozusha Propaganda Kuwa eti EPL ni Ligi Ngumu Duniani..
Hatumae Tokea Atoe Kauli Hiyo Basi Hajawahi Kushinda Tena Ni Vipigo tu! Ni Wazi Kuwa Anafahamishwa Jinsi Ligi Kuu Ya Uingereza ilivyo..
 
Pep next game anacheza na nan?
 
Next game tunacheza na nan?
 
Sawa hakua na mpango na hii game, ila sisi tushashinda tumesonga mbele, yeye 6 game without win
 
Hongereni Wakuu humu. Huyu jamaa Pep Guardiola mwache aambulie vipigo tu sijapenda kabisa jinsi anavyomnyanyasa Yaya Toure.

Mbaguzi sana huyu jamaa.
Anataka aombwe msamaha kwa makosa ya kitoto.
Natamani afikishe mechi hata 40, utamuwekaje nje Yaya?
 
Hivi inamaana City na Chelsea walishindwa kustrategize kabisa?
Unashinda EPL ila unafungwa mashindano mengine.
Na hiyo EPL ni marathoni pia, hawawezi jua pumzi itakatikia wapi.
Tukutane May, 2017.
 
Manchester united official club statement
"The club can inform our globality fans around the world that the club has no intention of making any management changes for 3 years and for good willing even more for stability of our club,thereby we stand by the manager Jose mourinho and his staff to continue their work and make progress on the pitch to at least 2019 and we offer them our backup and support to work without pressure and unnecessary tensions created by the press as the manager will be here in the long-run and we request our fans to support the team and the manager because success we enjoyed over the twenty years was created merely by stability and we want to give the manager that this time because changes after changes do not answer transitional problems on the pitch and we will continue spending in transfer windows to reach our trademark goal of being back at the pinnacle of english and european football"
Ed woodward CEO&Glazers family jointly press statement,25.10.2016 2:30 PM BST,Manchester,England.
**HUSTLE 1**
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…