Man Utd wanaweza ku-afford kuweka kikosi cha kwanza sababu next match watacheza vs Liverpool killers Burnley. Mourinho mwenyewe ali-indicate baada ya kipigo cha magoli 4 wanategemea ushindi in next few league games. Tusubiri tuone kama arrogance italipa. Sitaki kusikia kisingizio kuwa baadhi ya wachezaji walikuwa wamechoka sababu ya mechi ya jumatano (vs Citey)