Wewe unaongea vitu vya ajabu. Last season we won FA cup, in fact this year. Talking about EPL we won it 2013. Kumbuka tukiwa na Ferguson tulikaa kuanzia 03-07 ndio tukapata EPL. Sasa sioni ajabu kukaa three/four seasons bila kombe. Hebu tukumbushe wewe Chelsea how long mmekaa bila EPL title?!! Well, nafikiri haina maana kwa sababu obvious umeanza kushabikia Chelsea alivyokuja Abramovich so hujasubiri 50yrs kwa ajili ya kombe.
Hakuna kufufuka wewe, nani bora Mo yes au Moureen? Usijali mambo yote Colney. nyie mmesingiziwa tu kh khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Vipi kesho? Mbangueni huyo Gadihola.
Jaman mwenzenu kila nikimcheki Jose naona u van gaal una anza kumuingia
Mfano leo anasema anadhani Pogba anaweza kuwa CD mzuri kabisa, huyu jamaa kuna kitu hakiko sawa huyu
Jaman mwenzenu kila nikimcheki Jose naona u van gaal una anza kumuingia
Mfano leo anasema anadhani Pogba anaweza kuwa CD mzuri kabisa, huyu jamaa kuna kitu hakiko sawa huyu
Mwambie eqlpyssssssssssssss arudi basi, au ndio kabadili jina kama ada ... .. ... ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee au ndio vichapo vimemkimbiza.