Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ilibidi tuwafunge tu, by the way poleni sana mashabik wa united
 
Lol inaelekea jamaa alibet banda Zima la kuku na zizi la ng'ombe kuwa Arsenal, Man city na Manchester united wote watafungwa.

Kwanini mmekosesha kijana wa watu hela, atazidi kuwachukieni lol

RayJr {Unamkumbuka?] atakuwa na furaha sana leo
 
kuwa na page nyingi haimaanishi kuwa nyie ndio bora humu!inaonyesha ni kiasi gani mnachukiwa...50% of those pages zinatoka kwa wapinzani wenu.
 
Duh

Kweli kipigo kimekuchangananya sana aiseee.
Umefikia stage ya kujifariji kwa wingi wa posts?
Haya tuletee na idadi ya viewers sasa...
Japo uzidi kufarijika.
 
Kwanini mmekosesha kijana wa watu hela, atazidi kuwachukieni lol

RayJr {Unamkumbuka?] atakuwa na furaha sana leo

Huyu jamaa sijui yupo vipi leo.... Ubaya kule nime baniwa siwezi kuona posts za Chelsea fans around the world.
 
Kwanini mmekosesha kijana wa watu hela, atazidi kuwachukieni lol

RayJr {Unamkumbuka?] atakuwa na furaha sana leo
duh umenikumbusha huyo mtu tehteh leo Mama Baggio sijui vipi? au sio United? sister etu.
 
yule ni Yuda wala hawezi umia
ooops afadhali umefika kutoa pole!

taratibu za mazishi zinaendeleaje mkuu??

Daftari la rambirambi nani analo??

nitupie hafa 100 tu ya kinafiq
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…