Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Okay. Inaweza kuna kitu wamekosea katika kuipost. Nimeiona yahoo version ya Marekani, basi waliopost hawakudouble check kuona imepostiwa kwa walengwa wapi
 
Haya wadau ni siku nyingine tena chama la wana linaingia uwanjani leo pale darajani tuna historia mbaya sana pale toka 2013 babu fergie aachie timu hatujawahi kushinda kabisaaa ila leo kitaeleweka tu lazima tuondoke na point tatu
TEAMPOGBA TUJUANE MAPEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
mjitahid tu leo mpunguze idadi ya magoli" ............ mana tiger mwenyewe ana magoli yake matatu"
 
leo ni kati ya Yutong(chelshit) vs Mwendokasi(man utd) ngoja tuone haya mabasi mawili yatapaki vipi?
 
Back
Top Bottom