Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man of the Match


Lee Grant, keeps Stoke in the game.
 
Mkuu unamuongea Anthony Martial au Martial yupi?
Nimeamini watu wengi mpira hawajui. Kwa akili ya watu wengi wanadhani mchezaji akifunga goli ndio mchezaji bora hata kama alibahatisha.
Pale alitakiwa aingie Rooney na Young, hapa Mourinho amechemsha sana.
 
Pia tumepoteza magoli mengi sana kipindi cha kwanza, hii ligi isha tushinda

Kumbe Unajua leo Wewe Kuwa ligi imeshawashinda?? Mbona mimi nimelifahamu Kitambo hilo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaha hawa washabiki wasahaulifu huwa wanatokea timu zikishindwa kupata ushindi. Ina maana umeshasahau magoli aliyofunga mechi zake za mwanzoni mkaanza kumwita the NEW HENRY?
Kule mwanzo tulidhani ni mchezaji wa maana. Lakini kwa kuwa ame-prove failure ni wa kufukuzwa kabisa. Aondoke na Depay wake.
 
Sasa mkuu Mou ana kosa gani Pale!!?
Hii droo Mou hata haingii kwenye lawama
Kuhusu ligi kutushinda sio shida kwangu ila leo nimesha kubaki hilo
Namsapot mourinho.
Leo tumecheza vizuri kila sehem kasoro umaliziaji na kipa wa stoke alikuwa vzuri ana stahili kusifiwa
 
Haaaahaaaa
 
Kwahiyo wachambuzi wa soka wanaipima timu kwa kutoka sare na Stock?

We sijui unetokea wapi, Ungekuwa na akili nzuri angalau ungeangalia Positions, Chances tulizotengeneza Mach I hii kulinganisha na Leicester city.

Argument yako ni ya kitoto sana

Ahaaaa! Kumbe Ubora wenu Munaangalia Positions na Chance Hewa???
Haya Nyie Weledi Wa Soka Jipimeni Kwa Chance Hewa! Wacha Wengine Wajitume Kwa Kutupia.


I'M MAN U HATER
 
Na leo de Bruine hayupo wataipata. Washapigwa kamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…