</p>I hope fulham watatumia advantage ya rotation leo.fulhaaaam tupeni uhai tunawategemea.
ha ha ha , nawaona fulham wanaonekana wamechoka sijui njama hizi .<p></p>
<p> </p>
Endelea kuomba mkubwa.
Washakalia kimoja so far.
Naona chelsea mambo bado magumu hapa,
</p>ha ha ha , nawaona fulham wanaonekana wamechoka sijui njama hizi .
I hope fulham watatumia advantage ya rotation leo.fulhaaaam tupeni uhai tunawategemea.
Easy win ukizingatia tuna mechi mbili muhimu zinakuja, 10 points clear of Arsenal. Kesho nawaombea gunners watoe draw tuu.
Hongereni kwa ushindi wa leo. Tukutane Old Trashford J'nne.
Achana na Torres mkuu kama unataka ushindi.waache wakina anelka na drogba wafanye mambo.
Unaona vitu vya Sturridge lakini? Mmepoteza Pound mil 58 bure mchezaji mnae sema wenyewe.
Achana na Torres mkuu kama unataka ushindi.waache wakina anelka na drogba wafanye mambo.
Unaona vitu vya Sturridge lakini? Mmepoteza Pound mil 58 bure mchezaji mnae sema wenyewe.