Timu nzuri hii, Rooney alikuwa mzigo, Fellaini wala sisemi.4-3-2-1 ndiyo formation...Mata anacheza 10..Anders 6 na Pogba 8...ngoja tuone itakavyokuwa. Lakini I'm very optimistic na kikosi haswa nikimuona Anders na Mata ndani..
Umeme unakata kwa Leicester timu ambayo 60%ya 90mins wachezaji wote wako nyuma ya mpira? Kucheza na Leicester unahitaji creativity ya hali ya juu ambayo Mata anayo.Naona point yako hapa...coz kwenye hiki kikosi sioni yule mtu wa kukata umeme pale kati i think Angemuanzisha Carrick instead ya lingard halafu Pogba apande juu the pembeni Mata.
afadhali kweliView attachment 406098
Afadhali muharibifu wa timu kawekwa benchi
Umegoma kabisa kuniamsha sio...All the best timu yangu kipenzi.......
Yani ndiyo nataka kukuamsha hvyo......embu lala tena basi.Umegoma kabisa kuniamsha sio...
tazama kwenye simu mkuuNipo njiani naikosa hii gemu aisee