shiiit!
kwahiyo kuulizia swala lolote la pogoba siku hizi tusi na ujinga eee?? kwani tuliwalazimisha kumnunua??? acheni kupaniq nyie mbulula!
alinunuliwa kwa raha zetu sasa maswali yenu kwake ni ya nini....? mwacheni .....afu hatuna mchezaji anaitwa pogoba.shiiit!
kwahiyo kuulizia swala lolote la pogoba siku hizi tusi na ujinga eee?? kwani tuliwalazimisha kumnunua??? acheni kupaniq nyie mbulula!
alinunuliwa kwa raha zetu sasa maswali yenu kwake ni ya nini....? mwacheni .....afu hatuna mchezaji anaitwa pogoba.
wanatamani sana ila hasira wanakuja kumalizia kwetu.Haterz hao ni mwendo wa kupanic na kumshusha thamani pogba ni pale unagundua club yako haina uwezo wa kushindana kifedha na vilabu vikubwa
Mentor hela yote hiyo waiweke nje... Au ndo ile umelilipia ada toto Feza na mwingine Kayumba... Alafu wa Kayumba ndo anakuja kukubeba kimasomaso baba.... Wa Feza chenga[emoji23] [emoji23] [emoji23]and them being human and not some celestial beings..they are prone to err! [HASHTAG]#caseClosed[/HASHTAG]
Huu mchezo hauhitaji hasira bro...mwambie tu Pogba hajacheza leo!
Na mkitaka kushinda sahauni huu upuuzi wa Pogba. Chezesha Carrick na Herrera.
tuliza kitenesi wewe hukutoa hata senti kwenye ununuzi wa pogba so pita hivishiiit!
kwahiyo kuulizia swala lolote la pogoba siku hizi tusi na ujinga eee?? kwani tuliwalazimisha kumnunua??? acheni kupaniq nyie mbulula!
tehetehetehe wakutuliza kitenesi ni popobawa! MKATA NYWELE GHALI ZAIDI DUNIANI! mapovuuuuuuuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tuliza kitenesi wewe hukutoa hata senti kwenye ununuzi wa pogba so pita hivi
nywele zake unampangia cha kuzifanya.tehetehetehe wakutuliza kitenesi ni popobawa! MKATA NYWELE GHALI ZAIDI DUNIANI! mapovuuuuuuuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]