Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It's Okey Man United ............... Dhahabu lazima ipite kwenye moto .......... Maisha bado yanaendelea na hayana budi kuendelea ,let's move forward, Stand up United !!! We will make it!!!!..... GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.
Tangu muanze kupita kwenye moto mwaka wa tatu huu unaenda wa nne taratibu mtaelewa kwanini arsenal tumejizoelea
 
It's Okey Man United ............... Dhahabu lazima ipite kwenye moto .......... Maisha bado yanaendelea na hayana budi kuendelea ,let's move forward, Stand up United !!! We will make it!!!!..... GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.
Glory Glory MAN UTD!!!
 
Kuwekeza kwa Moureen ni kosa kubwa Man U walifanya. Yule ni wa moto wa mabua, hayupo kwa long term na hana impact kwenye uwekezaji wa mda mrefu.

Soon tutasikia "Moureen Out"


hawezi kutimuliwa jana hakuipa game mkazo unawaacheje nje wachezaji 6 wa kikos cha kwanza?
 
Njia unayoipita Wewe siyo lazima niipite Mimi,pengine nyie Imani yenu ni kubwa kuhimili miaka yote bila kombe
but for us ni kijipito tu na tutafika soon....... soon mambo yatakuwa sawa,kushinda ni lazima but kushindwa its a choice
,sisi as Man U tunakataaa kushindwaaaaaaa tutapambana mpka kieleweke!!! Nyie endeleeni kuzoea matatizo,sisi hatuyapi nafasi tutambana mpka mwisho,Nini Pogba ?Hata Messi, CR7,Neymar,Muller etc anaweza kuja tunapambana tu mpka kitasomeka,Iwe juu iwe chini,tufungwe tusifungwe kitasomekaa tu!!!! So furahi tu ndugu yangu kwasasa lakini ndo twachomoka hivyo wenzenu. ........ yaani I like spirit of this Timu balaaaaaaaa!!!! Yaani ni kupress on kwa kwenda mbele mpka kisomeke......
Glory Glory Glory Man United!!!!!
 
Paul Pogba is 'all over the place', Paul Scholes says as he urges United to buy a midfielder to help control him. [Mail]
 
Intresting hahah
 
Ni swala la muda tuuu ubovu wa morinyo kuonekana zama zile za kupaki bas na kushtukiza zimekwisha kwani watu wameshajua udhaifu wake wanamdunda tuu. Morinyo anaweza akaamua mambo mawili ili kulinda heshima yake
1. Kustaafu soka na kuachana kabisa na mtindo wa kupaki basi.
2.kufundisha tym ndogo ambazo zitamjengea majina
 
Dozi taratibu inawaingia


unakazana balaa ukiamini utafaulu point tatu zetu zipo kwa aseno za kufidia kwa man city kapoteza game mbili katoka kubeba ngao ya hisani japo haina maana ila sio sawa na yule asie na kitu mkononi halafu soma ulichoandika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…