Leo tutamuelewa kweli katik level yake ya Europa. Kipindi cha kwanza tu kashatupia magoli kadhaa divide by kadhaa.. Kipindi cha pili si itakuwa sawa na idadi ya pesa iliyomrudisha Old Trafford?
Tofautisha Ulaya na Bongo
Ulaya unanunua mchezaji mwenye jina unapiga pesa kupitia mauzo ya jezi
Naona mmeshupalia bei aliyonunuliwa wkt tayari Man Utd imeingiza faida...........Mmihukumu yy km yy siyo kuhisu pesa aliyonunuliwa