Unaongelea HISTORIA..!!?
Kwangu HISTORIA huwa haina nafasi..!
Hata kwenye KIKAPU niko huku...
View attachment 397732So ni VYEMA usipoteze MUDA wako kuniletea HABARI za HISTORIA...
Kwangu HISTORIA huwa haina NAFASI kubwa katika MAAMUZI..!!!
Mimipogba alikabwa na mchezaji yupi wa city?
Man city UCL trophy cabinet and your brain have some thing in common. EMPTINESSSo what..!!?
Huna historia utaongelea nini zaid ya kutafuta mapicha
SAF aligombana na Stam, Beckham,Pogba,Scholes,Tevez, Van Nistelrooy.
Jose amezungumza mambo 3
1.Amekiri City walicheza vizuri na waliizidi United kipindi cha kwanza
2.Baadhi ya wachezaji wa United walicheza chini ya kiwango na hajataja jina
3.Amezungumzia mwamuzi,kasema Bravo alimchezea Rooney faulu ilipaswa iwe penati na kadi
Kipi ambacho amekosea hapo?
Madhafanta..!!!Man city UCL trophy cabinet and your brain have some thing in common. EMPTINESS
Unaongelea HISTORIA..!!?
Kwangu HISTORIA huwa haina nafasi..!
Hata kwenye KIKAPU niko huku...
View attachment 397732So ni VYEMA usipoteze MUDA wako kuniletea HABARI za HISTORIA...
Kwangu HISTORIA huwa haina NAFASI kubwa katika MAAMUZI..!!!
Wewe kweli POYOYO..!Nikukumbushe tu hili jukwaa ni la mpira wa miguu sio mpira wa mikono kwa ulichokipost hapo inadhihirisha mpira hauujui ndo mana ukapost de brune kamkaba pogba.
Umesema ukweli kabisa mkuuWatu wengi wanaolaumu namna Pogba alivyocheza, uwezo wao wa kujua mpira ni mdogo. Kumbuka Man City walikuwa na viungo wengi wanaocheza karibu karibu.
Wakati Man U walikuwa na viungo wachache wanaocheza mbali mbali. Angalia Space iliyokuwepo kati ya Fellaini, Pogba, Micki, Lingard na Rooney utaelewa.
Wenzake walim isolate peke yake kati ya dimba, ikawa inabidi alazimike ku drible ili kuwafikia. Hiyo ilimfanya kuchoka mapema.
Mpira ni ushirikiano, ndicho walichotuonyesha City leo. Huwezi kufanikiwa kwa kutumia mchezaji mmoja mmoja.
At least Herrera aliongeza balance pale katikati kabla ya Pep kuua game kwa kumuongeza Fernando.
Mou anapaswa aanze kumuamini Herrera ili kumsaidia Pogba, Fellaini ni mrefu, ana maguvu, lakini hawezi ku cover space kubwa kusaidia wenzake.
Pia, ni muda muafaka kumchezesha Smalling kwa sababu Blind ameanza kurudia makosa ya last season, si mzuri kukaba (timu ikiwa under pressure).
Pogba "The Slow but Sure man"
Still nina Imani, ndo game zinaanza.
Madhafanta..!!!
Lazima upanic tu ushindi adimu city mana timu inayoongoza kwa kushinda mechi nyingi epl ni manchester united ikifuatiwa na aseno namo humo bado haupo tukusaidiaje ndugu? Makombe mtihani ndo mana unapagwa pagawa tu na mapicha
Man city UCL trophy cabinet and your brain have some thing in common. EMPTINESS
Madhafanta..!!!
Madhafanta..!!!
Hivi ni kweli hauelewi KISWAHILI au unajitoa UFAHAMU tu..!!!?Kwa hali huwezi kuisaka history na lazima upagawe tu hakuna namna kwako ni vitu adimu hili jukwaa ukija jipange kweli sio unakuja na timu zako za kuzuka kama uyoga
View attachment 397743
Wewe kweli POYOYO..!