Mkuu..unatakiwa..uelewe...kuwa...team..inapokubali...kuvunja..bank...nakusajili.mchezaji..kwa..bei...kubwa...wanakuwa..wanategemea....mambo...mawili.kwanza...perfomance...ya..mchezaji....na...pili...kibiashara..zaidi...Tunataka matokeo na Si mauzo ya jersey
Hata Kaseja hadi leo jersey yake unauzika
Hii pole yako isingeambatana na maneno mengine ingekuwa poa sana.....
Mkuu..unatakiwa..uelewe...kuwa...team..inapokubali...kuvunja..bank...nakusajili.mchezaji..kwa..bei...kubwa...wanakuwa..wanategemea....mambo...mawili.kwanza...perfomance...ya..mchezaji....na...pili...kibiashara..zaidi...
Hahaaaaaaaa....Tupo pamoja Chifu...Ha ha! "Balantanda is always here/around"
Mie nimeumia jamani utadhani nimepigwa kibuti na mchuchu....Pole mama. Ila cha ajabu sijaumia roho.
Ahahahaaaaaaah...Subir uone kama wataambulia kagoli hata kamoja pale ni kuanzia mbili na kuendelea zama zenu zimekwaisha
Dah sijawahi umia kama leo aisee......yani sina mood kabisa hapa.Sikujua kama na wewe ni wa chama hii, pole sana. Jukwaa halinogi bila hayo maneno mengine.
Sijui majonzi yatatulia nikigonga mvinyo kidogo......lakini naogopa nisije kuwa kituko baadae.teh teh ndiyo matokeo hayo
Ahahahaaaaaaah...naona umepaniki sasa!! mshashindwa hata kabla ya mechi kuanza!!
Ahahahaaaaaaah...
Watu bhana..!!!
Shika ADABU yako..!
Dah sijawahi umia kama leo aisee......yani sina mood kabisa hapa.
hako ka beki kenu kataweza mzuia mnyama zlatani?
Ahahahaaaaah...na baba yako pia usimsahau
Ahahahaaaaah...
Tafuta panadol umeze upumzike..!
Unamwonea bure kwa hayo uliyomwandikiaGame moja umechanganyikiwa hapo unadhihirisha uanda dog wako wazoefu wa soka wanaangalia kinachofuata
ENGLISH FOOTBALL STATS
MOST CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Manchester United
2. 18 - Liverpool
3. 13 - Arsenal
MOST FA CUPS
1. 12 - Arsenal
1. 12 - Mancester United
3. 8 - Tottenham Hotspurs
MOST CHAMPIONS LEAGUE
1. 5 - Liverpool
2. 3 - Manchester United
3. 2 - Nottingham Forrest
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Manchester United
2. 15 - Liverpool
3. 14 - Arsenal
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Manchester United
2. 60 - Liverpool
3. 43 - Arsenal
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Manchester City
3. 4 - Tottenham Hotspurs
Tafuta timu yako hapo ili uendelee kutamba hapa
MANCHESTER IS BLUE..!!!Game moja umechanganyikiwa hapo unadhihirisha uanda dog wako wazoefu wa soka wanaangalia kinachofuata
ENGLISH FOOTBALL STATS
MOST CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Manchester United
2. 18 - Liverpool
3. 13 - Arsenal
MOST FA CUPS
1. 12 - Arsenal
1. 12 - Mancester United
3. 8 - Tottenham Hotspurs
MOST CHAMPIONS LEAGUE
1. 5 - Liverpool
2. 3 - Manchester United
3. 2 - Nottingham Forrest
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Manchester United
2. 15 - Liverpool
3. 14 - Arsenal
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Manchester United
2. 60 - Liverpool
3. 43 - Arsenal
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Manchester City
3. 4 - Tottenham Hotspurs
Tafuta timu yako hapo ili uendelee kutamba hapa
Hehehe...Huyo sio mwenyewe united haiwez kufungwa na timu ya kuzuka kama uyoga
MANCHESTER IS BLUE..!!!