Niko hot nitakusalimia baadaye ila nimekumiss acha tu!!!Hahahahaa pole my dia sijui kama mtachomoka leo

Haya ... nadhani John Hart atakuwa anachekelea huo Torino
Endelea kuota.. Hakujakuchwa bado..Nimeoteshwa morinho kufukuzwa..!
Leta na ya Kwetu tuliyofunga be fair usagasumu pembeni........nakusubiri tu baadaye

The game is still on Gooner...Duh, kwa mpira huu naanza kuamini Pep ni the best manager in the world, United absolutely blown away from their own turf.
Leta na ya Kwetu tuliyofunga be fair usagasumu pembeni........nakusubiri tu baadaye![]()
Aiseee utakuwa unaotaMan mpaka sasa kapigwa 2-0 bado ataongezwa tatu ndio itakuwa inawatosha,
