Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumuweka nje Martial na kumpanga Lindgaard sidhani kama ni uamuzi mzuri.
 
Haya ngoja tusubiri ila nakuona pressure imeshapanda lol!, njemba nyingi za mtaa huu zilizoanza kujisogeza sogeza sasa zimesogea mbali sana na mtaa. Khe khe kheeeeeeeeeee

Gem bado mbichi, kutangulia sikufika
 
.. Naona De Bruyne anamlipizia Mourihno alivyomtema Chelsea
 
.. kwa kweli hali ni tete. yaani hadi Pogba amekuwa anonymous!
 
Msipoangalia zlatan ataonekana mzigo maana hana mtu wa kumchezesha pogba ni mkabaji anaentercept psi za watu, kifupi mmepotea, ila rooney mnamuweka wa nini nyie vitoga... TAFUTENI MTU WA KUMCHEZESHA ZLATAN MSIENDE KWA MAZOEA hivi huyu mourihno vipi mbona boya hivii
 
Blind anafungisha goli la pili. Huyu sio beki wa kufanya Smalling akae nje.

Lindgaard anafanya nini kumuweka Rashford/Martial nje?
 
Nasubiria kuwafuta machozi wapenzi wa man U maana kupakatwa kupo pale pale hata kama mnadai kutangulia sio kufika
 
This is insane. Cant believe my hd flat screen… kiukweli tumepoteana zaid ya kupoteana.. Mungu tuepushe na 6 tu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…