Enzi za babu mpaka mpira uishe ndo mnajua tumefungwa yaani kama tungetoka sare na hawa jamaa duh kila nikitizama najua tutafunga muda unakwenda hatimae kweli
Ah kule palikuwa sababu ya shule .....shule imeisha nimerudi kijijini kwetu karibia na kwenu......nawe bado upo uku shamba.? Au wazee wa VAT walikuamisha mji?