Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cc cute b wanguuuuu weeeeeee nimekumiss jamani ukujeeeeeeeeeeeeee!!!!!
 
Namimi inabidi nitafute sasa jezi ya Man U mana ya mwanzo niliigawa baada ya kuona mambo sivyo ndivyo.
Mi kawaida kila msimu najitahidi kutafuta mpya lkn tangu aingie Moyes sikununua tena.......kuvaa ilikuwa nzito km turubai
Hii ndo jezi yangu ya mwisho kununua
Tangu hapo nikapunguza kwenda vibanda umiza na kuangalia tu kwenye liveztream.....timu ilikuwa ovyo kuliko Mbao FC
Unaweza ongoza 3 lkn zilirudi au kufungwa
Yaani ulikuwa noma ya vipindi
Lakini sasa lazima nitafute red & white nitambie kitaa
 
kama mie nilikuwa naangalizia livestream tu mana unapoteza muda kwenda kuangalia unaambulia majonzi........hivi jenzi nzuri nitaipata wapi..........
 
kama mie nilikuwa naangalizia livestream tu mana unapoteza muda kwenda kuangalia unaambulia majonzi........hivi jenzi nzuri nitaipata wapi..........
Zipo K/koo madukani mfano pale Big Bon kwa mbele.....ukipata original inadumu km niliyoonyesha ina miaka kibao No mpauko, No kufutika
Ht Mlimani City unaweza kupata
 
Zipo K/koo madukani mfano pale Big Bon kwa mbele.....ukipata original inadumu km niliyoonyesha ina miaka kibao No mpauko, No kufutika
Ht Mlimani City unaweza kupata
Bei gani?
 
Zipo K/koo madukani mfano pale Big Bon kwa mbele.....ukipata original inadumu km niliyoonyesha ina miaka kibao No mpauko, No kufutika
Ht Mlimani City unaweza kupata
ooh asante...ila sie vimbaumbau size zetu hakuna yani mpaka tuibane tshirt yenyewe.
 
Bei gani?

Bei zinatofautiana mkuu, inategemea na original ya namna gani, kuna original ya China, na kuna zile za moja kwa moja kutoka UK.

Last time Mlimani City kulikuwa na duka la vifaa vya michezo walikuwa wanauza Tshs 250,000 jezi original (kwa wakubwa na watoto), naona kwa sasa hawapo tena pale, sijui hata walikohamia.

Hizo za BigBon inaweza kuwa around 50,000.
 
Nilitaka tu kujua hio original ya kariakoo bei gani? Mimi ninayo nimeagiza UK £59.99
 
Upo sahihi mkuu
 
Ni muda nimenunua pia hapo BigBon, enzi za Suarez na Liverpool.

Kipindi hiko bei ilikuwa ni hiyo 50,000/-, sina uhakika kama ndo bei bado au zimepanda.
Maana raha ya jezi timu yako iwe inashinda.....baada ya vipondo kuanza nilisusa kutafuta jezi
Bei lazima itakuwa imepanda 7bu mfumuko wa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…