Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakati ule ilikuwa kituko kweli.
Unaenda kwenye mechi kama underdog. Unajua unafungwa wakati wowote na kocha hana la maana atakalofanya.
Ila sasa hivi 'fear factor' imepelekwa EPL. Tunagawa dozi kwa atakayejileta na tutakaye mfuata dozi pia.
Sahihi andiko lako tulikuwa kama tuna homa za vipindi mchana wazima jioni tumejifunika shuka (gubigubi )ilikuwa unaangalia mpira huna raha
 
Mou hatakagi ujinga lazma ubadilike ama sivyo anakuuza ukafie mbele.
Yaani jana kuna moja alifinya akatoa pasi nyingine alikunywa maji (kuweka mpira kifuani )akaanza yaani burdaaaaan kama sio yeye vile. Watu wameanza kutuogopa na ndio kitu tulichokuwa tumepoteza man u ilikuwa kama timu ya kawaida tu.
 
Yaani jana kuna moja alifinya akatoa pasi nyingine alikunywa maji (kuweka mpira kifuani )akaanza yaani burdaaaaan kama sio yeye vile. Watu wameanza kutuogopa na ndio kitu tulichokuwa tumepoteza man u ilikuwa kama timu ya kawaida tu.

Tulidhalaulika sana .. .hata kama msimu bado haujachanganya lakini kwa hizi game kidogo hesima imeanza kurudi.....na furaha kwa mashabiki imeanza kurudi
 
Nadhani ifike wakati Martial anakuwa utilized. Huyu jamaa napenda sana awe anatupia. Asiwe kivuli uwanjani.
Nadhani ifike wakati Martial anakuwa utilized. Huyu jamaa napenda sana awe anatupia. Asiwe kivuli uwanjani.
kweli aixee ila naona martial kama anapoteza confidence jana pia kakosa goli la wazi kabisa na hata kasi yake sio ile tuliyoizoea ##ggmu
 
Kweli kuna tofauti kubwa kati ya mou na gaal...
Yaan wachezaji wanajituma mpaka raha..
Alaf kumbe biti la kuwauza linasaidia kuongeza ufanisi , yan watu niliotegemea watauzwa ndo wanapiga kazi mpaka aibu kuwauza...
 
Kweli kuna tofauti kubwa kati ya mou na gaal...
Yaan wachezaji wanajituma mpaka raha..
Alaf kumbe biti la kuwauza linasaidia kuongeza ufanisi , yan watu niliotegemea watauzwa ndo wanapiga kazi mpaka aibu kuwauza...

Kweli aisee,amna mtu anapenda kucheza timu za kawaida.
 
Wapinzani sijawaona uku

Waje kufanya nini wakati hawana uhakika hata kama watashinda leo?
Na isitoshe wanaumia tukishinda. Tungefungwa wangekuja kuuza chai zao humu.
Na mbaya zaidi wanaogopa tukikutana hawatatoka salama.
 
Nasubiri kwa hamu.
Man Utd vs Arsenal
Man Utd vs Chelsea
Man Utd vs Man City
Man Utd vs Liverpool
Man Utd vs Tottenham

Hapo ndo tutajua timu yetu ina tatizo wapi.
 
Man utd ina kawaida ya kuchukua veteran strikers na kufanya vizuri. Kumbukumbu yangu inanirudisha 2007 tulimsajili HEnrik Larsson kwa loan ya miezi michache na akasaidia timu kuchukua ubingwa.

Misimu michache iliopita tulimsajili RVP ambae alikuwa anasumbuliwa sana na majeruhi, lakini akafunga magoli zaidi ya 20 na kusaidia timu kuchukua ubingwa.

Sasa hivi tuna Zlatan Ibrahimovich, na kwa jinsi alivyoanza namuona kabisa atafanya mambo waliyofanya akina RVP na Larson.
 
Paul Pogba praised for Man Utd display by Friday Night Football pundits



Jamie Carragher

"He was strong and powerful in the game, dominated the game. He was all over the pitch. We talk about holding midfield players and attacking midfield players - he was like an old-fashioned midfield player who covered every blade of grass.
"Watching him play was like watching the best kid in the school ground doing whatever he wanted, running all over the pitch. At times that might hurt United, because he's not in the central position to stop a counter-attack. But the ability he's got and the freedom he plays with, he reminds me of a No 10 with the position he takes up, the things he tries when he's got the ball. To see that from a central midfield player is something you don't see that often.

"There's no doubting his talent was on show there."

Ryan Giggs

"I think the biggest compliment I can give him is that I was watching that game and watching Paul Pogba and I wasn't thinking of £89m. I was just thinking of a player enjoying himself and trying things and expressing himself as the game went on. Yes sometimes things won't come off, but he's trying things and he's releasing himself.

"He was all over the pitch, he wants to get on the ball and it was a brilliant, brilliant performance when you take into consideration he's only trained for a week, the price tag and he's still only 23."

Thierry Henry

"We can look at his stats but the one I like is 11.2km run from a guy who has been in training only for a week. What I got from talking to him was he couldn't wait. He couldn't wait to go out there. I think that's why Mourinho didn't sub him, he was enjoying it. Tonight I thought he was brilliant. I thought he had a man of the match performance - although obviously Zlatan got it by scoring two goals.
"He was everywhere. I love the fact he started to control the tempo of the game. When he had to play long, he played long. When he had to drive, he did it. He was outstanding, for me."

Jamie Redknapp

"There would have been a lot of people tuning in today wondering what all the fuss was about with this guy. The dances, the dabs, the Instagram posts… But he showed he's the real deal today. His overall performance - after a week's training - was incredible. I was so impressed with his all-round game.
"Jose Mourinho mentioned how much of the ball he touched and his influence. He covered every blade of grass. Certainly on the left hand side, that's an area he liked to play. It was like men against boys in that midfield. When he gets fit and gets to that next level you can see goals, assists, and him dominating games. In terms of his first game, I'm very impressed."







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…