Kama hali ikiendelea kama nilivyoiona leo,Shikamoo Man utd!Mambo manne yafanyike;
Tufuatilie pale Samunge kwenye kitabu cha babu hakuna jina la mgeni mwenye sir name ya Fellaini kweli?!
Tuwape Nike na Adidas kazi ya kiuchunguzi ni jinsi gani wanaweza kutengeneza madaluga yenye spring kuweza kuruka juu vizuri otherwise timu zote za EPL with exception ya Man u zikatafute mabeki NBA..maana hawa mabeki wa sasa kila wakiruka juu wanapishana na mjomba anarudi chini huku nyavu zinatikisika😀
Wazungu bwana,kama wamemuotesha mtu nywele hawashindwi kuotesha na ubongo ujue,maana karudi mpyaaa😀
Mwisho ntamuomba Mourinho awe mkweli,aende kule Turin awape Juve hela yao iliyobaki,awaambie "nimeona niwaongezee tuu"😛😀