Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kijana kweli nimekukuza ki soka
Big up
 

Hahaaaaa
 
Hivi jamani mmenote kitu kuhusu fella?jamaa kabadilika sanaaaa....leo alikuwa makini kupita kiasi
jamaa nilijua baada ya kuja mou angeuzwa, cha kushangaza leo tena kawekwa fist 11!!! amecheza vizuri sana kwa kweli....wamemiliki kiungo vizuri pamoja na pogba mtaalamu wa kugawa mipira
 
Dah! Afadhali aisee maana midomo yetu mashabiki wa man ilishaanza kunuka kwa kukosa raha ya mechi, kushangilia na kuzodoa wenzio pia ni sababu ya kupunguza harufu ya mdomo, wacha watupe rahaaa
 
So far mfungaji bora hadi sasa ni Zlatan Ibrahimovich. Akiwa na magoli matatu.
Na timu yenye GD kubwa kupita zote ni Man Utd. +4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…