Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Usajili wa Pogba umewauma sana wapinzani.

Wakati yupo Juventus walikuwa wanamconsider kama bonge la mchezaji. Leo katua OT wanamuona wakawaida.

Kama mnasahasira sana kunyeni matikiti.


eti leo kageuka kiungo wa kauzu fc manchester united imeongeza idadi ya maadui zaid ya sir alex sasa ni mourinho halafu na top playera aliowadaka huwezi ukapendwa wakat jirani anahangaika na bony wewe una pogba inafaa awapige kisawasawa mana tukipigwa tutatafuta sehemu ya kujificha kwa hali ilivyo kila game kwa man utd ni fainali.
 
Badili msemo...huu tumeuzoea na hamna mabadiliko.
Safari hi nakupiga easily kabisa
Unanipa points 6 ktk kuchukua EPL yangu
Pogba is very ill-legged mido,hawezi kasi ya Coutihno na Mane
 
Kinachonipa moyo ni winning mentality ya Mourinho.....kila game ni must win game, sio LVG hata game muhimu mnaelekea kuipoteza hafanyi chochote anabaki kuandikandika tu!
Ni kweli Mourinho ana winning mentality, lakini sio mzuri kwa long term investment. Atawapa vikombe msimu huu, hilo halina ubishi lakini next season mtalia tu kama sisi.
 
Ni kweli Mourinho ana winning mentality, lakini sio mzuri kwa long term investment. Atawapa vikombe msimu huu, hilo halina ubishi lakini next season mtalia tu kama sisi.
Ok lets wait and see.....dont forget this is Man unt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…