kama namuona Ranieli anavyofukuzwa kabla ya disemba....
Hapo red sisi hapatuhusu kwetu ni mwendo wa pointi 3 tu
Kuna kitu kinakosekana kwenye timu yake itachukua kamuda kidogo kuwa sawa hasa kwenye defence game ya jana dogo gray ameanza kuwa mjinga mjinga, passion ya Mahrez imepotea. Mbaya zaidi wako kwenye pressure kubwa kututhibitishia hawakubahatishaila mbona ana timu nzuri. Msimu huu tutaona mengi sana.
Ila ajiandae Ranieri maana timu zimejipanga
Presha ya kutetea ubingwa itawatesa sana. Mahrez nahisi kama anataka kwenda timu kubwa hivi. Kiungo mkabaji yule Mendy mpaka afit kama kante.Kuna kitu kinakosekana kwenye timu yake itachukua kamuda kidogo kuwa sawa hasa kwenye defence game ya jana dogo gray ameanza kuwa mjinga mjinga, passion ya Mahrez imepotea. Mbaya zaidi wako kwenye pressure kubwa kututhibitishia hawakubahatisha
Naona 'African Messi' Mussa ameanza kuizoea ligi mapema
Kwa kwa kwa kwaaa, kwe, kwe, kweeee, kwii kwii, kwii, kwiiiii..... Nitumie namba yako ya M-pesa,.... Hatariiii..Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Tayari kishafika, yupo carrington saiz mkuuPaul Pogba yuko ndani ya private jet now anaelekea Manchester kufanya medical.
Yeah kashafika anafanya medical.Tayari kishafika, yupo carrington saiz mkuu
Duh! hatimae maana kulikuwa na figisu figisu nyingi.Tayari kishafika, yupo carrington saiz mkuu
Alisema mata ana umbo dogo na alitaka kuzuia mipira ya juu....na sub zilikua bado zipo nyingi tu...akaamua mtoa mata!!!Hivi Mata alifanyia nini Mourinho?
BACK TANGANYIKA
Mechi ya mwisho ya Mata
Hivi Maurihno ana maana gani kumtoa Mata (substitute?) Inamvunja morale ..
Alisema mata ana umbo dogo na alitaka kuzuia mipira ya juu....na sub zilikua bado zipo nyingi tu...akaamua mtoa mata!!!
Kamaliza medical, kinachosubiriwa ni official announcementPogba kafikia wapi??, any update???