Uzuri mmeshaonesha njia ya kuwa msimu huu hamtabeba kombe lolote tena baada ya kuchukua 'the cursed cup'
Nimelipenda goli la dogo Lingard limenifungulia file la magoli mazuri 2016/17 kwangu, hii staili mpya ya ushangiliaji inaitwaje? Maana naona kaamua kuibadili baada ya kuona king of dab anakuja
All in all hongereni watani kwa kujitutumua