Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,210
- 20,954
The smallest player ahahahaha dharau sana huyu mzee....mda si mrefu kina Rooney watamuanzishia mgomo mwache aendelee na mambo yake ya ajabu ajabu.Jose Mourinho on his decision to bring off Juan Mata, who was only a substitute himself: "I think he played very well. He gave me exactly what i needed.
"The rules allow six changes, I had made five and I wanted to stop the game. I need to take off the smallest player because we are expecting a lot of long balls. He is the smallest one.
"We want to win. Everyone is happy in the end."
Ni kweli. Maana makocha wapya katika hizi timu kubwa lazima tuone mabadiliko. Man united imejipanga vyemaHii MANU ya 2016 ni tishio si ile ya 2015. Kama wakicheza mbali na majeruhi ya kutisha basi wanaweza kupambana vilivyo na Chelsea na MANC.
Ila pia na leceister bado wazuri kumbukaStill timu bado sana Carrick,Rooney,Mata wana kazi sana so far naona De Gea,Baily,Zlatan,Valencia , Shaw +Pogba wana uhakika wa namba wengine kazi wanayo
Ila pia na leceister bado wazuri kumbuka
Baily na Valencia wamenikosha
Logic ya kuwa na mipango na fela halaf aka muacha basti hadi sasa sijaiona pia
Kweli kabisa mkuuHawa wananifurahisha na mchezo wao wa ari kubwa ila wana pengo la yule mcheza aliyeenda Chelsea sijui kama wataweza kuliziba. Kama wataepuka majeruhi ya kutisha bado ni tishio na hawatakosa kwenye top 5 za BPL.
Bastian hata kama angebaki angepigwa benchi na Pogba na sidhani kama angekubali Fellaini atakuwa anaanza benchi,Morinnho huwa anatumia wachezaji wachache so sifa kubwa lazima uwe fitIla pia na leceister bado wazuri kumbuka
Baily na Valencia wamenikosha
Logic ya kuwa na mipango na fela halaf aka muacha basti hadi sasa sijaiona pia
Kuna mwafrika aliingia kipindi cha pili amejitahidi lakini Kante ameacha pengo kubwa sanaHawa wananifurahisha na mchezo wao wa ari kubwa ila wana pengo la yule mcheza aliyeenda Chelsea sijui kama wataweza kuliziba. Kama wataepuka majeruhi ya kutisha bado ni tishio na hawatakosa kwenye top 5 za BPL.
Mourinho..amesema..alimtoa..Mata...kwasababu...alitegemea...long..ball...from...Leicester....alipoangalia...nani..ni..mfupi..kuliko..wote...akamuona...Mata...na....asingeweza..kuwatoa..wachezaji...warefu...kwasababu...yakudefend...long..ball...