Nipo hapa kibanda umiza naangalia mpira sasa match imeisha wanaonyesha upokeaji wa zawadi sasa jamaa si akaweka taarifa ya habari mmh ukumbi mzima wamepiga kelele za toaaa toaaaa na matusi juu basi jamaa katoa taarifa ya habari karudisha highlights za man u
Wala we usjaliMorally kwa mchezaji inpungua bana
Nimesoma hiyo habari. Anasema umri na ligi ya EPL itamsumbua.Eti Wenger kamsagia huyu kwamba ni mzee kwa kuwa ni 35 YO hafai kwa BPL. Kishampa motisha wa kupata hat trick tutakapocheza nanyi halafu Wenger aanze kutoa excuse zake za ajabu ajabu.
Ahsante sanapole sana
As the reds marching on!on!on!Glory Glory Man Utd.
Nadhani Mata atakuwa aliiba "bibi" ya mou..Morinho ana tatizo gani na Mata?
Mi mwemyewe nlifurahi tyuuJose Mourinho on his decision to bring off Juan Mata, who was only a substitute himself: "I think he played very well. He gave me exactly what i needed.
"The rules allow six changes, I had made five and I wanted to stop the game. I need to take off the smallest player because we are expecting a lot of long balls. He is the smallest one.
"We want to win. Everyone is happy in the end."
Haya mlo kuwa mna mlaum mou kajieleza
Kwa nn alimtoa mata
"Juan played well. He gave me exactly what I need. I have to take the smallest player off because the game will end in long balls."
Still timu bado sana Carrick,Rooney,Mata wana kazi sana so far naona De Gea,Baily,Zlatan,Valencia , Shaw +Pogba wana uhakika wa namba wengine kazi wanayoMi mwemyewe nlifurahi tyuu
Mourinho..amesema..alimtoa..Mata...kwasababu...alitegemea...long..ball...from...Leicester....alipoangalia...nani..ni..mfupi..kuliko..wote...akamuona...Mata...na....asingeweza..kuwatoa..wachezaji...warefu...kwasababu...yakudefend...long..ball...Hivi Maurihno ana maana gani kumtoa Mata (substitute?) Inamvunja morale ..
Nimesoma hiyo habari. Anasema umri na ligi ya EPL itamsumbua.
Mazoezi ndo yatamsaidia sana. Jamaa yuko fit. Ngoja ligi ianze tupate burudaniHuyu jamaa yuko fit sana kama ataendelea kufanya mazoezi katika kiwango cha sasa basi anaweza kucheza hadi miaka 40.
Mazoezi ndo yatamsaidia sana. Jamaa yuko fit. Ngoja ligi ianze tupate burudani