Manchester United (Red Devils) | Special Thread

As we speak Pogba ni mchezaji wa Juventus. Wenger alikuwa anamwongelea mchezaji wa Juventus sio Man utd.
Wewe nawe akili zako ni fupi hakuna mfano hata kusoma huwezi, nani aliosema pogba ni mchezaji wa Man U? shule zitusaidie banah sio kujaza madawati yalio pigiwa harambee na serikali, nimeandika hivi wenger amemkejeli mourihno kwa pesa anazotalajia kumsajili pogba sasa hujaelewa neno KUTALAJIA ubongo wako mweupe sana...
 
Kabisa ....unatafuta sehemu nzuri unatulia na kinywaji chako pembeni.....na hivi kesho holiday ni full raha........
Sasa unanitamanisha halafu huniambii nije wapi ahhhh wakwetu vipi....
 
Wakuu naomba link ya kuangalia huo mchezo plèeease maana nipo mbali na tv....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…