Mkuu, binafsi mimi bao naona Mensah atabaki na atampoka namba Darmian.
Unajua Mou anachopigana hivi sasa ni kuwa prove wrong wale wote wanaomsakama kuwa huwa hafanyikazi na Vijana. So ninaimani zote dogo atabaki na ku shine.

Hivi huyu mino raiola mbona mwizi hivi....anapindishapindisha mambo...anataka wamlipe pesa ndefu hivo kwanin...mara 20 mara 10 mil uero...anazingua snaa....