Mou alipofika kitu cha kwanza ni kumpa mkataba carras pamoja na huyu dogoJose Mourinho, kafanya mistake kubwa kumuacha huyu dogo Timothy Fosu-Mensah, kwenye kikosi chake.
Jose Mourinho, kafanya mistake kubwa kumuacha huyu dogo Timothy Fosu-Mensah, kwenye kikosi chake.
Hakuna mchezaji yoyote alieachwa mkuu, ni daily mail wame create ki article Chao uchwara ndio kina randa randa mitandaoni saizLeo nakujbu kwa roho nyeupe kwasababu ni fan wa MU, Mensah ajaachwa yuko nje kapata majeraha kdogo. Kapost pcha twitter
Tangu Mourinho amekuja kuna uzushi mwingi umeandikwa.Walishaandika
Mata anauzwa
Depay anauzwa
Blind anauzwa
Darmian anauzwa
Jones anauzwa
Bastian anauzwa
Valencia anauzwa
Tangu Mourinho amekuja kuna uzushi mwingi umeandikwa.Walishaandika
Mata anauzwa
Depay anauzwa
Blind anauzwa
Darmian anauzwa
Jones anauzwa
Bastian anauzwa
Valencia anauzwa
Nusu ya hao watauzwa... Atakayebaki ni kati ya Depay, Jones, Blind maybe Damian.. Pesa itakayotumiwa kulipia Pogba lazima irudishwe angalau nusu ya robo kama sio robo nzima.
Pesa isjngekuwa issue kwenu mngepandisha hiyo 20/= ya Raiola ili mubebe chenu.Kocha anamtaka Pogba na klabu inayo hela ya kumnunua ,sasa unataka Matuidi asajiliwe na nani ? Pesa sio issue kwa Man United
Unakumbuka pressure aliyokuwa nayo Bale pale Madrid kutikana na transfer fee yake?Pogba namkubali sana, pili pesa sitoi mfukoni kwangu lakini hiyo pesa ni nyingi MNO kwakweli, Tuangalie option nyingine
I can't wait for the season to start..
#Believe
#Let'sGoManUnited
umesahau uzushi mwengine. Pogba anakwenda Man uTangu Mourinho amekuja kuna uzushi mwingi umeandikwa.Walishaandika
Mata anauzwa
Depay anauzwa
Blind anauzwa
Darmian anauzwa
Jones anauzwa
Bastian anauzwa
Valencia anauzwa
Ha ha ha! Ila, bado mimi si shabiki wa mpiga domo, nimefurahi sana come-back yako yaani acha tu,nikikumbuka maneno yako mwisho wa msimu wakati Mou anaingia nikajua next season nitakukosa humu, big up brother!!!
#I believe
GGMU
Hahahaha yatosha tu hata kwa heri ulizozitoa.Ha ha ha! Ila, bado mimi si shabiki wa mpiga domo
Sasa unataka kuleta siasa mpaka huku daah.Leo nakujbu kwa roho nyeupe kwasababu ni fan wa MU, Mensah ajaachwa yuko nje kapata majeraha kdogo. Kapost pcha twitter