Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Mzee wenu kamficha Vidic asicheze International Break,Tumemshitukia na hii sio mara ya kwanza kusingizia wachezaji majeruhi kwa sababu tu hataki waende kucheza International matches.Team news: Rio and Vida out
10:00 Sir Alex says Rio Ferdinand and Nemanja Vidic are both unavailable for the weekend clash with Bolton. Vidic should be back after the international break. Jonny Evans could come back in "but it's a risk as he's been out so long". John O'Shea is out for five weeks, while Rafael will be missing for two or three weeks, both with hamstring injuries. On Rio, Sir Alex adds worryingly: "We may be lucky to get him back for part of this season." More updates from the presser... (GT)
"
Mara ya mwisho Serbian FA hawakumchezesha Vidic kwa sababu Man Utd waliwaomba wasifanye hivyo this time around Vidic is injured wacha yengele kutoka kwenye blogs za Arsenal, besides that Man Utd ndio muajiri wake therefore they should have a final say.Mzee wenu kamficha Vidic asicheze International Break,Tumemshitukia na hii sio mara ya kwanza kusingizia wachezaji majeruhi kwa sababu tu hataki waende kucheza International matches.
Mnatembeza bahasha kila mahali.Sasa kila timu zikiomba FA zisiwachezeshe wachezaji basi hakutakuwa na umuhimu wa National timu.Mara ya mwisho Serbian FA hawakumchezesha Vidic kwa sababu Man Utd waliwaomba wasifanye hivyo this time around Vidic is injured wacha yengele kutoka kwenye blogs za Arsenal, besides that Man Utd ndio muajiri wake therefore they should have a final say.
Dah we held on, precious three points and I must say it was a season defining moment. Arsenal wamedraw sasa hivi my main worry ni Chelsea.J.Evans--- red card. Huyu dogo keshatu cost tayari.
Mkuu waliongeza dakika nne, mwishoni mwishoni Smalling karibia afanye blunder ya kufa mtu.ahahhahahhah!! Dk ya 88 Berbatov kapiga goli , halafu imeongezwa dakika moja tu. Hahah !! Hapa ndio ninapomkubali si Ferguson.