Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Haya mapenzi na ushauri wa majirani zetu in abidi tunyamaze kwa mapenzi gani mpaka watuonee huruma?Kocha anamtaka Pogba na klabu inayo hela ya kumnunua ,sasa unataka Matuidi asajiliwe na nani ? Pesa sio issue kwa Man United
Eti wanatuonea huruma!Hivi timu yako haijafanya usajili? Kla sku kufatilia habari za Man U tu
Msagasumu at work!!!! ...... poleeeee si kwetu hainaga ------- tunakulaga!!!Oi..jamani hivi mechi ya ufunguI..Ngao ya hisani ni nani na nani....??
Vibonde lecister city sijui watakuwa na akina nan..cio nyie ndezi man u kweli au....FA ci mlichukua...?? Hapo lazima mnawaka kama 3:0 hivi...wale vijana nawakubali sana wanapiga mpira hatare sanaa.....unajua wapo kwenye form....
Binafsi nawakubali kama mshabiki wa mpira au nyie mnasemaje ...si wataifunga man u...NGAO YA HISANI lazima waipige manureeeeeee
Mnakulaga nini....Msagasumu at work!!!! ...... poleeeee si kwetu hainaga ------- tunakulaga!!!
Hivi Wenger in or out?......... mume wa Mimi missing you much next season utahama nyumbaBaada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
Mi ni shabiki wa utd na sikubalian na hii kitu kabisaNimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure
Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho
So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil
bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil
Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??
£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi
My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
Huu ni utumbo mtupu kwasababu sioni Man wakiwatumia hawa wachezaji msimu huu.
Wanaumizwa na mambo yetu kuliko ya kwao haya mahaba ya ajabu sana.Mkuu mbona swala ili la pesa ya Pogba lishajibiwa humu kitambo, na jibu lilikua rahisi sana mkuu "vipi hiyo hela inatoka mfukoni kwako au unapungukiwa nini akinunuliwa kwa gharama kubwa..??"
You have got a point bro, tatizo sio uwezo wa Utd kifendha, ila reality hiyo ni a lot of money.Hakuna Tatizo ni opinion tu....Ila huyo wakala ni Greedy hatari na bora manure wamchukue Braise matuidi hizo pesa wanazotaka hao jamaa ni nyingi sana na inakuwa Complicated
Afu pressure atakayokuwa nayo Pogba itakuwa beyond madness
Pricetag inaletaga extra pressure kwa mchezaji maana expectation inakuwa kubwa sana kwake....
Ni kweli mkuu, kukubali kutoa huo mzigo wote pia kunaweza kuleta matatizo hata katika contracts zinazofuata.Pogba namkubali sana, pili pesa sitoi mfukoni kwangu lakini hiyo pesa ni nyingi MNO kwakweli, Tuangalie option nyingine
Unawaita 'vibonde' afu unasema unawakubali.. HahahOi..jamani hivi mechi ya ufunguI..Ngao ya hisani ni nani na nani....??
Vibonde lecister city sijui watakuwa na akina nan..cio nyie ndezi man u kweli au....FA ci mlichukua...?? Hapo lazima mnawaka kama 3:0 hivi...wale vijana nawakubali sana wanapiga mpira hatare sanaa.....unajua wapo kwenye form....
Binafsi nawakubali kama mshabiki wa mpira au nyie mnasemaje ...si wataifunga man u...NGAO YA HISANI lazima waipige manureeeeeee
Wenger always in, binafsi namkubali mzee. Muke ya ujana wangu, mapenzi hunoga tukiwa watani wa jadi ujuweHivi Wenger in or out?......... mume wa Mimi missing you much next season utahama nyumba
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure
Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho
So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil
bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil
Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??
£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi
My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure
Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho
So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil
bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil
Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??
£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi
My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
€110 (agent fees included)Breaking: Pogba is set to have medical in miami this afternoon after following his agreement last night with his agent . (Sky source)