Zlatan is the legend YESS but not of Manchester united, akizidisha sana tutakua nae kwa miaka miwili then ataondoka zake, how comes tusimtendee haki mchezaji wetu bora ( ukiacha de gea) wa msimu uliopita na ambae tutakua nae muda mrefu kuliko mpita njia ambae Jersey number haina maana yoyote kwake,
HAKUNA MCHEZAJI YEYOTE MKUBWA KULIKO TIMU, hivo hakuna mchezaji anaeweza kuchukua namba ya mchezaji mwenzake kirahisi rahisi eti kwa sababu ana jina kubwa,