Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Hahaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki unalalamika wakati hutoi hata senti mfukoni mwako, kwani hizo hela zinakuuma nini wewe? We tulia uone kikosi kimekamilika basi, masuala ya hela walaaa hayatakusaidia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hebu nigonge na Guinness tu,Mkuu unatumia kinywaj gan manake umeandika mpaka nimeskia raha
Yaniii we acha tu umenena vyema, sema tu upo mbali ningekubeba toka ubungo mpaka sinza, hebu karibu tugonge vitu heavyYaani mm nimependa tulivyocheza tukafungwa maana ndo tunajua udhaifu wetu uko wapi,bonge la mechi ya kujipima
Mkuu mbona jukwaa letu hatuvai hizo jezi za mistari wanajiita sunder.......kulikoni[emoji134] [emoji134] umetumwa,moyes kwetu ni zilipendwaHaya haya 'The chosen One' is back
cc Belo Th Name everlenk herrera & all Manchester united fans
Kufa kufaana Welcome back Moyes to EPL
View attachment 369769
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Me naisubiri sana against Mou nioneGurdiola anatetemeka huko aliko, game yake ya kwanza anakutana nae
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nitake radhi mtani hata sijawahi kuwashabikiaHahahahaha Welcome Back Moyes.......... Mtani unajua Wewe ni Man U ila unakataa tu[emoji85]
Hizi match ni trial, ambapo tutagundu ubovu mapema, kufungwa hakuana athari hasi bali chanya kwa kuwa tunajinoa zaidi ya pale, relax dude toa hofu sisi ndiyo the red devil, winning is our spirit..Tufungwe zote tu. Sio tushinde kama ile ya Van Gaal halafu kwenye league tubaki tunaangaliana.
Tukiwa tunafungwa kocha atagundua mapungufu mapema sana.
Hahaaaaa maneno ya mkosaji haya ulifurahi vile viwili vya ushindi .... ila mtani Depay mlilamba garasaYaani mm nimependa tulivyocheza tukafungwa maana ndo tunajua udhaifu wetu uko wapi,bonge la mechi ya kujipima
Mkuu soma vizuri utaelewa kwanini nimeweka hapaMkuu mbona jukwaa letu hatuvai hizo jezi za mistari wanajiita sunder.......kulikoni[emoji134] [emoji134] umetumwa,moyes kwetu ni zilipendwa
Hiyo mbona lain siku izi wameichakachua labda kitwanga mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hebu nigonge na Guinness tu, View attachment 369920
Hiyo mbona lain siku izi wameichakachua labda kitwanga mkuu
Mkuu martial kalalamika?Hiki kitendo cha kuchukua namba ya martial bila kumtaarifu sio cha kiungwana kabisa.
Hope litawekwa sawa
Hajalalamika public but bouhafsi ambae yupo karibu sana na kambi ya martial jana ka twit kwamba dogo hajapenda icho kitendo sababu ndio alikua anaanza kuitambulisha rasmi brand yake ya 'AM9' alafu baadae dogo akai unfollow manchester kwenye account yake ya Twitter na instagram, baada ya muda kidogo aka change profile picha yake ya fbMkuu martial kalalamika?
Daaaaah mou inabid aongee naeHajalalamika public but bouhafsi ambae yupo karibu sana na kambi ya martial jana ka twit kwamba dogo hajapenda icho kitendo sababu ndio alikua anaanza kuitambulisha rasmi brand yake ya 'AM9' alafu baadae dogo akai unfollow manchester kwenye account yake ya Twitter na instagram, baada ya muda kidogo aka change profile picha yake ya fb
https://www.facebook.com/
Daaah kiukweli siyo haki kabisa ilibidi dogo wampe heshima yake last year jezi yake worldwide kwenye mauzo ilikuwa ya 3 too sad, kwa kweli Ibra he's not a king but a god to man u teeeeehe teeeeehHajalalamika public but bouhafsi ambae yupo karibu sana na kambi ya martial jana ka twit kwamba dogo hajapenda icho kitendo sababu ndio alikua anaanza kuitambulisha rasmi brand yake ya 'AM9' alafu baadae dogo akai unfollow manchester kwenye account yake ya Twitter na instagram, baada ya muda kidogo aka change profile picha yake ya fb
https://www.facebook.com/
Mambo ya kijinga kabisa wakati mwingine hawa watu hufanya.Daaah kiukweli siyo haki kabisa ilibidi dogo wampe heshima yake last year jezi yake worldwide kwenye mauzo ilikuwa ya 3 too sad, kwa kweli Ibra he's not a king but a god to man u teeeeehe teeeeeh
Ugongwe na nn?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hebu nigonge na Guinness tu, View attachment 369920
Sure....Mambo ya kijinga kabisa wakati mwingine hawa watu hufanya.