Namba 9 kama playing position au kama Jersey number?
Kama ni playing position sidhani kama mou atamtumia hivo pia dogo anakua na impact sana akitokea kushoto kuliko akicheza kama #9
Kwa upande wa jersey inaonekana pia kutakua na baadhi ya mabadiliko kidogo kwa muujibu wa kitbag ( ambao ndio wana run megastore) zlatan anaonekana kuchukua namba ya Martial (9), wakati mata, januzaj, depay na morgan wakabadilishiwa jersey namba.