Ka hustle sana ili aje man uYahani hata body language yake tu inaonesha the guy is more than excited to be MUFC manager...I gotta strong feelings this time tumepatia aisse...atatupa trophies tu pengine hata msimu wake wa kwanza...he is in for winning
Karibu Eric OT japo sijawahi kukuona uwanjani...
Manchester United is delighted to announce that Eric Bertrand Bailly has completed his transfer from Villarreal CF, subject to successfully obtaining a work permit. Eric joins on a four-year contract with the option to extend for a further two years.
Karibu Eric OT japo sijawahi kukuona uwanjani...
Erickybailly jamaa anapiga buti huyu, yani kwa rafu tu yupo vizuri,Bailly
Nakumbuka namuona mara ya kwanza kwenye michuano ya mataifa ya afrika. Jamaa alikaza sanaErickybailly jamaa anapiga buti huyu, yani kwa rafu tu yupo vizuri,
Acha majungu. Nyie mpaka Sasa mmesajali wachezaji wangapi aiseeWakuu hongereni naona mnafanya usajili motomoto wa kupaki ma-Chevrolet kwa uhakika
Blind atapisha kwenye ile namba, sio namba yake asiliaInamaana nani atakaa benchi???
Blind atapisha kwenye ile namba, sio namba yake asilia
Mkuu tumesajili wachezaji karibia wote wakali ..... lakini klabuni kaja1 usiyemfahamuAcha majungu. Nyie mpaka Sasa mmesajali wachezaji wangapi aisee