Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Monch mzur...sema anavumbua vipaji visivyojulikana..mancs na madrid wanataka superstar..sidhan kama wanahitaj monch kwa sasa
 
Mashetani wekundu (Manchester United) wamewasilisha ofa ya Pauni milioni 60 kwenye klabu ya Juventus, kwa lengo la kutaka kumsajili kiungo kutoka nchini Ufaransa, Paul Pogba. Man Utd wamewasilisha ofa hiyo itakayovunja rekodi ya usajili wa wachezaji waliowahi kujiunga na klabu za nchini England, endapo itakubaliwa na viongozi wa klabu bingwa nchini Italia Juventus FC. Uchunguzi uliofanywa na gazeti la The Sun, na taarifa zake kuchapishwa mapema hii leo, umoenyesha tayari ofa hiyo imeshatumwa na kwa sasa viongozi wa Man Utd wanasubiri jibu kutoka Juventus Stadium huko mjini Turin nchini Italia
 
Bailly nilisha muona mara chache sana AFCON na kwenye ile game vs Liverpool ni strong ana pace pia ni mwepesi sana kuusoma mchezo

Kama Kuna anaemjua vizuri please
 
Bailly nilisha muona mara chache sana AFCON na kwenye ile game vs Liverpool ni strong ana pace pia ni mwepesi sana kuusoma mchezo

Kama Kuna anaemjua vizuri please
Mimi nme muona hizo mbili

Kuna nyingne walicheza na leverkusen waka toka 0-0 EUROPA

na ile na Barca 2-2 dogo ni mzuri uwa ana cheza na jamaa mwingne anaitwa ruiz i think

Alikuwa na mwaka mzuri kuliko hata laporte nadhan, kwakuwa bado mdogo ana faa
 


Jose ana furaha sana kuwa kocha wa United, naona kwake kapiga nembo kubwa kabsa ya timu yetu, we should support this manager

Yahani hata body language yake tu inaonesha the guy is more than excited to be MUFC manager...I gotta strong feelings this time tumepatia aisse...atatupa trophies tu pengine hata msimu wake wa kwanza...he is in for winning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…