Mata anaweza akawa mchezaji wa kwanza kabisa kuondoka UNITED summer hii.Kwa kweli Jose mwenyew ndo ata amua
Ila mata ana kaz ya ku mprove jose wrong
Ubaya ni kuwa aliondoka kwa technical reasons na ndo mimi na wait apa movie hiii
Lol nimecheka sana aiseee kama mtoto mdogoInanilazimu kwa uchungu mkubwa kutengua kauli yangu kuwa "Mourinho akitua man utd nahamia Midlesbrough". Karibu Mourinho.
GGMU.
Future ya mata ni uncertain bro, lakni sioni Future yake otYeah, but Conte anaweza akapata shida kidogp kum-shawishi bwana mdogo abaki (PSG).
But kuna uwezekano mkubwa sana wa Willian kuja United (i can feel it)
Hivi Future ya Mata iko vipi Aisee?? unamuona akiwepo united next season?
Kumsajili Willian ni mara kumi ya Mata,kama unamtoa Mata lazima ulete wachezaji wa kueleweka I think Griezman ni best optionFuture ya mata ni uncertain bro, lakni sioni Future yake ot
Willian nitampokea kwa mikono miwili but he is 28 kwa dau linalosemwa la 60 hapana aisee tunaweza kaleta winger mzuri and young kwa hilo dau
Hii ishu ya Willian ni jamie jackson anaizungumzia sana, sijaona sehemu nyingine yoyote zaidi jamie jackson na the sun, nadhani wanaangalia sana uhusiano walionao kwa mourinho,Kumsajili Willian ni mara kumi ya Mata,kama unamtoa Mata lazima ulete wachezaji wa kueleweka I think Griezman ni best option
Binafsi sioni kama Chelsea wana mchezaji anayetufaa labda Azpeculeta na sidhani kama Jose atasajili mchezaji kutoka Chelsea
Sidhani kama atafit kwenye mfumo wa Jose,Guardiola anamtaka na asipouzwa sasa baada ya msimu ujao Bayern hawatamuacha.So far tuna vijana wengi (Martial,Depay,Rashford,Shaw,Valera,Fonsu Mensah,CBJ) sidhani kama Jose atasajili wengineHii ishu ya Willian ni jamie jackson anaizungumzia sana, sijaona sehemu nyingine yoyote zaidi jamie jackson na the sun, nadhani wanaangalia sana uhusiano walionao kwa mourinho,
Kuna dogo anaitwa leloy sane yupo shalke 04 yupo vizuri sana yule dogo ningefulahi sana kumuona amevaa uzi mwekundu
Tulimshusha.bila huruma safari hii hatakubaliSteve bruce karudi premier another six points
Championship sio kuzuri kule watu wanapigana kwelikweli Steve yupo vizuri ni mpiganaji wa kweli.Steve bruce karudi premier another six points
Habari njema sana hizi, michael carick nae kapewa mwaka mmoja bado MensahM.Rashford has renewed his contract. He will now earn £20,000 a week. Rashford's new contract is at least four years long
Cameron Borthwick-Jackson is also close to signing a new contract with Manchester United
I think Jose lazima alipewa condition kuhusu hawa chipukizi,wengi wanasema Mata ndio ana hali mbaya lakini nadhani Bastian,Fellaini,Young,Phil Jones hawa ndio wako kwenye hali mbaya zaidi. Msimu huu ulaya timu nyingi sana zitafanya usajili wa wachezaji wengiHabari njema sana hizi, michael carick nae kapewa mwaka mmoja bado Mensah
Morinho hatashinda EPL na United labda wamsubirie kwa miaka 3
Yah nadhani hivo mkuu, ila itakua poa asiishie kuwasainisha mikataba awape na nafasi uwanjani, mimi naamini kuwa mchezaji yoyote akionesha uwezo hata kama ni Kinda chance anapataI think Jose lazima alipewa condition kuhusu hawa chipukizi,wengi wanasema Mata ndio ana hali mbaya lakini nadhani Bastian,Fellaini,Young,Phil Jones hawa ndio wako kwenye hali mbaya zaidi. Msimu huu ulaya timu nyingi sana zitafanya usajili wa wachezaji wengi