Duh ukiitizama hii picha wachezaji wote wanautamani mpira wengine uingie wengine usiingie.
Six pack la uhakika[emoji85] [emoji85]
Hull City wangecheza na Crystal Palace sasa hivi kombe wa FA lingekuwa limebakia London
Mata is a player who equalise goal in final match at injury time.Define Mata(Matter) please?
Asanteee, na pole kwa yote hope mbadala wake utapatikana.......feeling is mutual,Hahaha unajua LVG alikuwa ananiboa sana kwa blunders zake unforgivable one,kuanzia kwenye team selection,subs,na tactics kwa hyo roho ilikuwa inaniuma sana kuendelea kuijadili man u iliyo chini yake,ila kwa leo kombe ndo ilikuwa priority ya kwanza,we are glad ametuwezesha hlo japo kwa tabu sana,sasa ni wakati wake ahame na kuondoka kwa hiari.
#We are partying till down GGMU.
Hahahhaha mtani kumbe saaingine una roho ya huruma?Nimefurahi sanaaa hususani kuona vijana hawajamuangusha kocha LVG maana yani amekuwa kwenye mawazo sana huu msimu kwa kuwa aliweka jitihada za kutosha kuitetea Man U na kuiboresha, nahisi hata uzito wake LVG umepungua but finally vijana they did the best for him......nimefarijika sana nilitaka ata kudondosha chozi nikimuangalia...... Usiombe stress za ukocha
Is[emoji3] anything that occupy space.......Define Mata(Matter) please?
Umenifurahisha pata kawine kwa bill yangu nakuja sasahivi kulipa....Mata is a player who equalise goal in final match at injury time.
BBC wanasema Mourinho atatangazwa kocha mpya next week. Mourinho anakuja kuibadilisha Manchester United kuwa Chelsea B. Park the Chevloret Bus in the middle of the stadium and take away all four tires off.
Bora misimu mitatu hajatoka patupu....Goodbye LvG
Asante sanaUmenifurahisha pata kawine kwa bill yangu nakuja sasahivi kulipa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee kweli Tumefika, Hongera sana haka kamotto kalikuwa kananipa nguvu sana ya kusonga mbele......#Tumefika
#GGMU
I can't wait for thatAsanteee, na pole kwa yote hope mbadala wake utapatikana.......
MiwiliBora misimu mitatu hajatoka patupu....