everlenk Hongereni humu nilidhani kombe mbuzi ndiyo limeshachoropoka lakini bado mnapumua. Kuna uwezekano wa kubana nonino leo kaa mkao wa kubana lol! Nimecheka kumuona kocha wa CP akidance baada ya wa kufunga, mpira raha sana aisee dah! Unaweza kabisa ukajisahau kwa furaha ya goli lakini kiboko yao ni yule Klopp.