Wako football league championship baada ya kushushwa daraja msimu wa 2011-2012. Msimu uliopita katika ligi yetu ya championship tumemaliza nafasi ya 15 tukiwa na Point 55. Hopefully next season tutarudi premier league
Wako football championship league baada ya kushushwa daraja msimu wa 2011-2012. Msimu uliopita katika ligi yetu ya championship tumemaliza nafasi ya 15 tukiwa na Point 55. Hopefully next season tutarudi premier league
Yakubu aiyegbeni baada ya timu yetu kushuka daraja alitusaliti na kukimbilia china kuna timu inaitwa Guangzhou R&F kama sijakosea. Tangu kipindi hicho cha 2012 sijui tena alipotelea wapi
Nilikuwa namkubali huyu dogo balaa, Alikuwa ni kisiki cha mpingo, Baki wewe mpira uende au Nenda wewe upira ubaki..!!! Dadekiiii hizi ndizo roho za SAF hata kama mchezaji wa kawaida, ataonekana mkali..