Jamani, hivi matumizi sahihi ya ander herrera pale united chini ya lvg ni yapi? Binafsi namkubali sana huyu dogo kama atapewa muda mwingi wa kuchezea dimba. Ujinga wa lvg ni kuibua vipaji vya chekechea ilhali waliopo bado hawapewi nafasi ya kutosha kabisa
Nyota anayosafiria hii leo ni ya Liverpool nayo ishachuja kitambo sana, ndiomaana anakubali kufanya kazi na timu zinazoelekea kushuka Daraja.
Kwa kocha anayejitambua na mwenye CV kali hawezi kujishusha thamani kihivyo. Angalia kote alikopita Banitez baada ya kufanya vizuri na kuchukua UCL pale Liver, kote kaboronga mbaya sana. Falsafa yake haieleweki hata kidogo
Akazane tu kipandisha ligi kuu Newcastle yake, MAN U mziki mneme bhanaa
Duhhh tushukuru kwa yote tujifariji kama wenzetu walee next season tutamake........kwasasa mimi macho yangu yote ni FA cup nimekamiss sana haka ka kombe jamani.!!!!.....#GGMU