Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumemaliza msimu huu nafasi ya tano,maana yake hatutashiriki ECL hii si habari nzuri hata kidogo kwasababu timu inaweza kukosa target nyingi sana.Wachezaji wengi wanapenda kushiriki ECL huo ndio wasi wasi wangu.

Team imeonyesha inaweza kufanya vizuri msimu ujao iwapo itasajili baki wa kati (established) kuumia kwa Jones karibu msimu mzima ilichangia sana kuifanya sehemu ya ulinzi hasa katikati kupwaya kwa muda mrefu.Ningependa tusajili wachezaji wawili wa kiungo (established) kwakuwa Carrick kafikia mwisho wake hasa ukizingatia umri umetembea sana.Sehemu ya mchezaji wa kiungo wa pembeni mwenye speed ni muhimu pia wakatafua mchezaji wa aina hiyo kama watakosekana si vibaya tukamchukua Andros wa Newcastle.Man United inahitaji mshambuliaji wa kati (Proven) mwenye kiwango cha juu,tumekosa ECL kwasababu tumefunga magoli machache sana laiti tungekuwa na magoli mengi yamkini tungemwondoa Man City nafasi ya nne.
 

Kwa huyu kocha ni ngumu sana kufunga magoli mengi,mfumo wake hautufai kumbuka tulikuwa na Di Maria akashindwa
 
Japo sio level yetu ila tusife moyo sana....!! Msimu umekwisha na mnajua nafasi tuliyomaliza nayo msimu huu...

"Level points with city! In FA cup final! Massive injury crisis 80% of the season! What about Chelsea ? You know the worse champions ever to grace the premier league?"

#WeAreUnited #GloryDaysAreComing #GGMU
Jioni njema FAMILY #RED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…