Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wanaweza kumtimua lakini unafahamu gharamaambazo wataingia Man Utd wakimtimua?

Hata wakimleta Mourinho nae atataka pesa atumie kufanya usajili na kumbuka mwaka jana walitumia 250M.
Sina uhakika ila kunasehemu niliona akishindwa kuingia top 4 ( so far imeshindikana) na bodi ikaamua kumfukuza itamlipa £5 mill pesa ambayo ni ndogo sana kwa utd kuliko kukosa UCL
 
Inaonekana huyu mzee huwa anafanya makusudi.Next season akijitahidi ataishia no 4
Kimahesabu hata msimu huu bado timu ina nafasi ya kumaliza nafasi ya 4. Shitty akifungwa na Swansea na United akampiga Bournemouth, basi United atamaliza nafasi ya 4.
 
Wacha1 mitikas mingi yupo atakuja.

Huenda Man Utd wakamuiba Mauricio Pochettino wa Tottenham HotSpurs maana leo mchana kala lunch na mzee Alex Ferguson.

Pia kocha msaidizi wa Pochettino aitwae Jesuz Perez nae alikuwepo.

Ikumbukwe Mzee Fergie ni mkurugenzi ndani ya Man Utd.
 
Kwa niaba ya WAGONGA NYUNDO WA LONDON
aya bebeni ndumba na tunguli zenu tukawasaidie Swansea wampige City ndio ndoto iliyobaki,raha ya msiba jirani aje kukuchotea maji na kukuletea kuni ili tulie wote ndio nimekuja POLENI jamani kila nyumba lazima itoe maiti.
 
Kimahesabu hata msimu huu bado timu ina nafasi ya kumaliza nafasi ya 4. Shitty akifungwa na Swansea na United akampiga Bournemouth, basi United atamaliza nafasi ya 4.

Man City anahitaji droo tu na Swansea hawana cha kupoteza na Manchester United haina guarantee kumfunga Bournemouth kwa jinsi wanavyocheza kocha hana plan kabisa
 
Huenda Man Utd wakamuiba Mauricio Pochettino wa Tottenham HotSpurs maana leo mchana kala lunch na mzee Alex Ferguson.

Pia kocha msaidizi wa Pochettino aitwae Jesuz Perez nae alikuwepo.

Ikumbukwe Mzee Fergie ni mkurugenzi ndani ya Man Utd.
Ndiyo maana nakuelewa sana broh, kuliko hata baadhi ya mashabiki wa #ManUnited wewe ni mpenzi wa kweli wa soka...hiyo ya Pochettino kula lunch na Fergie nilikuwa sijaipata...ni mara milioni Pochettino kuliko mpiga domo Maureen...
 
hiyo n kula lunch na Poch anaweza kukubali ila kufanya biashara na Daniel Levy n mtihani
 
Man City anahitaji droo tu na Swansea hawana cha kupoteza na Manchester United haina guarantee kumfunga Bournemouth kwa jinsi wanavyocheza kocha hana plan kabisa
Swansea wapo onfire...doh! Aisee ndiyo umekosa imani na timu hivyo? Bournemouth watafungwa vizuri tu OT...na Swansea will do us a favour..
#Believe
 
Hii kitu kama ni kweli, ikifanikiwa itakuwa poa sana
 
Swansea wapo onfire...doh! Aisee ndiyo umekosa imani na timu hivyo? Bournemouth watafungwa vizuri tu OT...na Swansea will do us a favour..
#Believe

Man City kuna Aguero na KDB wako on fire na ni game ya mwisho ya Pelegrin.Game ya leo ilikiwa lazima kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…