Naiona Manchester United nne bora bila kengeza wala ushabiki.Ni hivi mechi zimebaki 4 kukamilisha ratiba ya EPL.
Man City atakumbana na New Castle,Stoke,Soouthmpton & Arsenal.Man City itaokota points 6 tu katika michezo minne iliyobakia na kufikisha points 66.
Arsenal itakumbana na West Brom,Sunderland,Arsenal & Norwich. Arsena itafanikiwa kutia kibindoni points 3 na kufikisha points 63 tu.
Man Utd itakumbana na C place,Leicester City,Norwich & West ham. Man Utd itanyakua points 12 na kufikisha points 68 na kunyakua nafasi ya tatu bila zengwe wala chenga.
Sina mengi nimeona ni vyema niwajulishe wanazi wenzangu wa chama kubwa tusiwe na wasiwasi Man Utd inagombea nafasi ya tatu si ya nafasi ya nne kama wengi wanavyofikiri.
Naomba kuwasilisha bila chenga.