Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Kuna siku kunakucha uzuri siku nyingine duh!lakini pongezi kwa timu na mashabiki wote glory man united.Woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.....Glory Glory Manchester United...mwaaaaaaa!!!!!!!
Asante mkuu, ndo maana wanasema siku hazilingani....Kuna siku kunakucha uzuri siku nyingine duh!lakini pongezi kwa timu na mashabiki wote glory man united.
Ndo mpiraAsante mkuu, ndo maana wanasema siku hazilingani....
Woyooooooooo ongezea na ulanzu kabisa......hivi hii itakuwa ni Mara ya 13 au 14 kuchukua kombe hiliii? Wazee wa mahesabu nijuzeni hapa....nachojua watoto wa Wenger wametuzidi Mara moja ....Ndo mpira
Leo nakunywa togwa hadi asubuh
Nazomea BASHALONA
....................
Man u 11, Arsenal 12Woyooooooooo ongezea na ulanzu kabisa......hivi hii itakuwa ni Mara ya 13 au 14 kuchukua kombe hiliii? Wazee wa mahesabu nijuzeni hapa....nachojua watoto wa Wenger wametuzidi Mara moja ....
Shukran hauchi unakuchaWakuu siku hizi mko-desperate na timu yenu kabisa naona mmepenya. Hongereni
Katika ubora wako. Vipi Leo nyie mtapenya pia au?Wakuu siku hizi mko-desperate na timu yenu kabisa naona mmepenya. Hongereni
Mkuu ahadi yangu ni pale pale crown yetu hiiKatika ubora wako. Vipi Leo nyie mtapenya pia au?