Chief kweli van gaal sio wa kulaumiwa kwenye hii game? Kuanzia dakika ya 25 lingard hakuonekana, kamtoa rashford kamuingiza young ambaye 1: hana match fitness, pili ni WB lakini kamchezesha kama striker akapambane na akina Toby + vertonghen, martial ambaye mi nilitegemea ndio atakuja katikati baada ya kutoka rash lakini akabaki pembeni,Kweli. Dogo Mensah alivyotoka tu, Spuds ndiyo wakapata nafasi. Na kudos kwa kocha wao kwa ku-spot udhaifu wa Darmian na ku-capitalise kwenye hilo.
As salaam aleikhum..!vipi salama mkuu?naomba nikukumbushe kukusanya michango kwa ajili ya kukodi bus la parade ikitokea bahati ya kumaliza TOP FOUR ili tufanye marching mtaa kwa mtaa.Na kwa mikakati waliyonayo spurs hasa baada ya kumaliza uwanja wao, sisi tutaendelea kusifia kuwa na vijana wazuri wa academy ila tunamaliza chini yao.
Hahahaaa naona umekuja shekh wangu, hyo top four tutaitoa wapi? Spurs na Leicester ni untouchable, upande wa city KDB, nasri and co wamerudi, labda itokee Mr bean alikatae kombe lake la siku zoteAs salaam aleikhum..!vipi salama mkuu?naomba nikukumbushe kukusanya michango kwa ajili ya kukodi bus la parade ikitokea bahati ya kumaliza TOP FOUR ili tufanye marching mtaa kwa mtaa.
Braza, calm down...kwa hiyo mikakati ya Spurs inakutisha? Umeanza kuifahamu Spurs lini braza? Spurs ni timu kama homa za vipindi.Na kwa mikakati waliyonayo spurs hasa baada ya kumaliza uwanja wao, sisi tutaendelea kusifia kuwa na vijana wazuri wa academy ila tunamaliza chini yao.