Hiyo sub pia sikuielewa..bora Herrera angeingia..Young hana match fitness kama Herrera...anyway, I can't complain much, our season in EPL ended few weeks ago...sasa angalau tujaribu FA cup..Young as frontman hii imekaje?
Game ya U21 na chelsea alitumika hivi...
kwa mpira huu wale WHU sijui kama watatukosa hiyo jumatanoHiyo sub pia sikuielewa..bora Herrera angeingia..Young hana match fitness kama Herrera...anyway, I can't complain much, our season in EPL ended few weeks ago...sasa angalau tujaribu FA cup..
Usigeneralise hivyo kuhusu mpira chifu...stay positive...ndiyo maana ya kuwa supporter wa timu...hata Sunderland ina washabiki walio positive kuliko hata wewe...#Believekwa mpira huu wale WHU sijui kama watatukosa hiyo jumatano
Pole jirani...Dohhhh mpka dakika ya 70 nilikuwa na matumaini yaani dakika 6 zimeharibu kila kitu. ......doooihhhhhh!!!' ......still we are the United....please Man U next ni Aston Villa make sure anakufa kwa udi na uvumba.......
ndio ukiona sunderland wanavyocheza sio kama hii team niambie viungo wanashindwa kutoa ata pasi ya goal...dk 90 team inapiga mpira wa kulenga goal mara moja .....team aijitumi kabisaUsigeneralise hivyo kuhusu mpira chifu...stay positive...ndiyo maana ya kuwa supporter wa timu...hata Sunderland ina washabiki walio positive kuliko hata wewe...#Believe
Wamefiwa km wewe ulivyofiwa......RIP yetu sote....Msiba tumeupata hatujaupata????!!
wamefiwa hawajafiwa!??
hahahahhahahahaaaahaaahahahahaaaahahah.....,
Asante jirani kikombe cha Leo kilikuwa kigumu mnooo kilikuwa hatuna budi tukinywee.....Pole jirani...
Doh! Kwa hiyo Sunderland wanacheza vizuri kuliko United?ndio ukiona sunderland wanavyocheza sio kama hii team niambie viungo wanashindwa kutoa ata pasi ya goal...dk 90 team inapiga mpira wa kulenga goal mara moja .....team aijitumi kabisa
Yeah, but that doesn't mean you have to be negative about the team when playing. Despite LvG's failures, when United plays I forget about all of that, and wish the best for the team. There is nothing I can do about LvG not being on the bench as the manager. He is there already, so one has to either live with it and support the team whenever it plays or moan and stay negative cum pessimistic.Nzi I feel your spirit, but the issue with LVG he is stubborn just because he used to be top notch coach back on the days.
The Morden football has evolve so much he can't change..... The tactics are just dreadful..... We should just stuck in traffic. LVG and Woodward out
Van Gaal leo alikuwa spot on na tactics zake, injury ya Mensah ndo iliharibu kila kitu, na hilo siyo kosa la LVG..Yeah, but that doesn't mean you have to be negative about the team when playing. Despite LvG's failures, when United plays I forget about all of that, and wish the best for the team. There is nothing I can do about LvG not being on the bench as the manager. He is there already, so one has to either live with it and support the team whenever it plays or moan and stay negative cum pessimistic.
Kweli kafa mkuu maana mmetandaza soka si mchezo teeehe teeeheLeo spur anakufa bila ubishi tena pale pale kwao