Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
bado ujanishawishi ndugu yang, me nafkir maneno yako yangekuw n nguv km angalau tungekuw tatu bora.. lkn kw mwendo huu wa kobe me nafkir the special one anahitajika haraka sn aje kuokoa jahaz ili team iweze kurudi kwny ushindani wa kweli kuanzia nje ya uwanja mpk ndani ya uwanja... Welcm Jose. GgmuSABABU TATU JOSE MOURINHO HAFAI KUWA MENEJA WA MAN UNITED
By Meshack Brighton
Jose Mourinho ametajwa mara nyingi kwenye tetesi za kuinoa Man United lakini zipo sababu tatu ni kwa nini si mtu sahihi kukwaa kiti cha umeneja Old Trafford
MAONI
Malengo ya muda mfupi
Wakati Louis van Gaal akiwa anaelekea mwisho wa msimu ambao pia unaonekana kama mwisho wake Old Trafford unakaribia, uwezekano wa kufuzu Ligi ya Mabingwa ni mdogo pia.
Jesse Lingard amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kwanza cha United, hali kadhalika kuibuka kwa Marcus Rashford kumeongeza ushindani katika ligi kuu ya Uingereza msimu huu wa 2015/16 na yote hii ni kwa sababu ya uvumilivu wa Louis van Gaal na kujaribu wachezaji makinda.
Usimtarajie Jose Mourinho kuonyesha uvumilivu huo na imani kwa wachezaji chipukizi wa Mashetani Wekundu.
Hebu tazama awamu yake ya pili akiwa meneja wa Chelsea. Ruben Lofts –Cheek ni mchezaji chipukizi mwenye uwezo mkubwa (huenda kuliko hata Lingard na Rashford) lakini hakupata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza zaidi ya kuingia akitokea benchi na dakika 45 dhidi ya Maccabi Tel-Aviv. Gary Neville alikuwa akiihofia Manchester United kuwa klabu ya kutimua-timua, lakini kama Mashetani Wekundu watamtimua Van Gaal majira ya joto na kumteua Mourinho, Mreno huyo atakuwa meneja wao wa tatu ndani ya misimu minne.
Mourinho pia si mtu wa kudumu na klabu, na hata akiendelea kudumu klabu haiwi thabiti. Bila shaka ile sera ya kudumu ya Sir Alex Ferguson itakuwa imekoma Old Trafford.
Mkurupukaji na Kukosa Utulivu
Hata wasioikubali United wanapaswa kuziheshimu kazi za Manchester United. Ferguson alikosolewa mara kadhaa lakini Mscot huyo aliweza kuchukuliana na changamoto hizo na mazingira magumu.
Kwa upande mwingine Mourinho ameruhusu kuvurugwa na vita ya maneno inayohusisha wachezaji, wafanyakazi, mwenyekiti na mmiliki. Kwa wasifu huu ataweza kuirejesha na kuilinda hadhi ya United?
Ukitazama hali Jose Mourinho aliyoiacha Chelsea Desemba mwaka jana na uhusiano wake na rais wa Real Madrid Florentino Perez, Ed Woodward ni lazima uwezo wake ujaribiwe kabla ya kupewa kibarua cha United.
Timu haina wachezaji anaowapenda Mourinho
Je! United ina wachezaji wanaoendana na falsafa za Jose Mourinho? Mreno huyo alipata mafanikio akiwa na Porto, Chelsea, Inter Milan na kwa kiwango kidogo sana Real Madrid kwa sababu ya kushindana na wachezaji na tabia za kikatili.
Juan Mata ni moja ya wachezaji wenye wasifu mkubwa ambao hawakuweza kumfurahisha Mourinho Darajani Stamford katika kipindi chake cha pili licha ya Muhispania huyo kuwa mchezaji bora wa klabu wa mwaka, ni vigumu kuona ni jinsi gani atafaa katika mipango ya Mourinho. Hata Marouane Fellaini haonekani kuwa kama mchezaji wa Mourinho.
Hakuweza kuona uwezo wa Thiago Motta kama una mchango kwa timu. Ni dhahiri meneja huyo wa zamani wa Chelsea ataihitaji bajeti kubwa kuunda kikosi cha maono yake.
Ndugu Msomaji una maoni gani, Je! Mourinho anafaa kuwa meneja wa Man United?
Source: Goal.com
Ndugu, huu mtazamo tu. Hata mimi napenda kuona man united inapata mafanikio maana tupo kwenye kipindi kigumu sana sasa hivi.bado ujanishawishi ndugu yang, me nafkir maneno yako yangekuw n nguv km angalau tungekuw tatu bora.. lkn kw mwendo huu wa kobe me nafkir the special one anahitajika haraka sn aje kuokoa jahaz ili team iweze kurudi kwny ushindani wa kweli kuanzia nje ya uwanja mpk ndani ya uwanja... Welcm Jose. Ggmu
Sitofautiani sana na ulichokiandika tatizo kubwa linalo wakabili fans wa United ni ile hali tuliyo zoea kuwa nayo yaani mtu unakaa kutizama game ukiwa ume relax tofauti na sasa.Lakini tukumbuke ni kipindi cha mpito sio cha kukurupuka na kujaribu kila kitu tunacho dhani kitasaidia jose kwa watu wanao tizama mbali sio kocha wa kujenga kikosi cha muda mrefu na falsafa zake haziwabebi vijana,ila swali gumu ni nani atakae fit katika nafasi hiyo?coz United ni timu kubwa inayofanya biashara na mashabiki all over the world haitakiwi kipindi cha mpito kiwe kikubwa.Ndugu, huu mtazamo tu. Hata mimi napenda kuona man united inapata mafanikio maana tupo kwenye kipindi kigumu sana sasa hivi.
#GGMU
Ni kweli kabisa. Sisi mashabiki tunataka mafanikio ya haraka sana. Kama Mourinho akija man united tunaweza kupata hayo mafanikio, tatizo linakuja pale akiondoka mfano inter MilanSitofautiani sana na ulichokiandika tatizo kubwa linalo wakabili fans wa United ni ile hali tuliyo zoea kuwa nayo yaani mtu unakaa kutizama game ukiwa ume relax tofauti na sasa.Lakini tukumbuke ni kipindi cha mpito sio cha kukurupuka na kujaribu kila kitu tunacho dhani kitasaidia jose kwa watu wanao tizama mbali sio kocha wa kujenga kikosi cha muda mrefu na falsafa zake haziwabebi vijana,ila swali gumu ni nani atakae fit katika nafasi hiyo?coz United ni timu kubwa inayofanya biashara na mashabiki all over the world haitakiwi kipindi cha mpito kiwe kikubwa.
Tatzo la binadamu huwa tunaangalia sana mabaya na udhaifu wa mtu kuliko mazuri yake,bado ujanishawishi ndugu yang, me nafkir maneno yako yangekuw n nguv km angalau tungekuw tatu bora.. lkn kw mwendo huu wa kobe me nafkir the special one anahitajika haraka sn aje kuokoa jahaz ili team iweze kurudi kwny ushindani wa kweli kuanzia nje ya uwanja mpk ndani ya uwanja... Welcm Jose. Ggmu
Kama Mourinho akija man united tunaweza[color] kupata hayo mafanikio,
Hahaha haya bhana
Napenda sana kusoma article zako
yah vs everton at OTThis weekend...We 'll have
Uko sahihi mkuu jose ni kocha Wa mipango ya mda mfupiMan itafanya kosa kubwa kuliko yote iwapo itajaribu kumchukua Jose huo ni mtazamo wangu sijapata maoni mawazo ya kunishawishi.
Ferguson defends Van Gaal's record at Manchester United
jose si mjinga kama mnavyodhani. Kwanza anapima upepo. Anaangalia united watamaliza wakiwa nafasi ya ngapi. Aiwezekani kocha wa cv ya mourinho akafundishe timu inayoshiriki si kushindana makombe ya ajabuajabu. Carling cup, fa. Mkishindwa kufuzu ulaya ucl/europa mtakuwa hamna namna zaidi ya kuendelea na van gaal. Kuacha mourinho hakuna kocha mwenye hadhi ya kuifundisha united.Uko sahihi mkuu jose ni kocha Wa mipango ya mda mfupi
Ki ukweli mimi sikubalian nae kabisa kwa falsafa ya José
Ni kocha wa mpito
Mkuu baada ya kuchemsha Chelsea value ya Mourinho imeshuka,sio yule wa miaka 5 iliyopita,kwa sasa hata akipata timu lazma akubaliane na masharti watakayompa. Baada ya Chelsea nilidhani angekwenda ni Bayern au PSG lakini kote huko wamemkataa.jose si mjinga kama mnavyodhani. Kwanza anapima upepo. Anaangalia united watamaliza wakiwa nafasi ya ngapi. Aiwezekani kocha wa cv ya mourinho akafundishe timu inayoshiriki si kushindana makombe ya ajabuajabu. Carling cup, fa. Mkishindwa kufuzu ulaya ucl/europa mtakuwa hamna namna zaidi ya kuendelea na van gaal. Kuacha mourinho hakuna kocha mwenye hadhi ya kuifundisha united.
Kufundisha utd kwake ni kama ngekewa, since SAF era jamaa anaota kuja kutumia OT kama uwanja wa nyumbani, sidhani kama ishu ya top itakua itahusika sana hapojose si mjinga kama mnavyodhani. Kwanza anapima upepo. Anaangalia united watamaliza wakiwa nafasi ya ngapi. Aiwezekani kocha wa cv ya mourinho akafundishe timu inayoshiriki si kushindana makombe ya ajabuajabu. Carling cup, fa. Mkishindwa kufuzu ulaya ucl/europa mtakuwa hamna namna zaidi ya kuendelea na van gaal. Kuacha mourinho hakuna kocha mwenye hadhi ya kuifundisha united.