Itakuwa aibu ya mtengeneza vikatuni hiyoHivi unajisikiaje pale umeandaa vikatuni na vimaneno vya kejeri, mwisho wa siku unakua huna pa kuvipeleka?
Hahahaaaaa kashengo, mcdonaldy tumeshaua huko kaokoteni mzoga.
Huyu jamaa smalling ni hatari sana
CHAMA na MOGELLA.....
Dah Leo imetokea Bahati tu lifelaini halijaingia maana ni shida
Mimi sijui LVG kwanini anamng'ang'ania Fellaini?!!Mkuu nadhani watu wameona tofauti kati ya big fella na Morgan pale katikati
Flying Spaniard
Yaah Morgan anaenda kutibiwa nje chama anamsubiri penye chaki ila mipira ile hawa vijana hawaiwezi undava mtupu kulikuwa na daud salum(Bruce Lee)salum kabunda(ninja)sasa ninja na Bruce Lee penye soka wapi na wapi?
CHAMA na MOGELLA.....
Source ya jina Ninja unaikumbuka? Alimpa Edward Chumilla miguu miwili ya kifua!Yaah Morgan anaenda kutibiwa nje chama anamsubiri penye chaki ila mipira ile hawa vijana hawaiwezi undava mtupu kulikuwa na daud salum(Bruce Lee)salum kabunda(ninja)sasa ninja na Bruce Lee penye soka wapi na wapi?
Mechi yake ya kwanza Europa alifunga, mechi yake ya kwanza ya ligi alifunga, derby yake ya kwanza pia kafunga and become the youngest player kufunga kwenye derby ya Manchester, THE FUTURE IS BRIGHT
Golden boy........
Ngoja waje wasemeHivi unajisikiaje pale umeandaa vikatuni na vimaneno vya kejeri, mwisho wa siku unakua huna pa kuvipeleka?
Hahahaaaaa kashengo, mcdonaldy tumeshaua huko kaokoteni mzoga.
Dogo ana 'passion' balaa! Derbies zinataka watu kama hawa....wanajua umuhimu wake kutoka moyoni, derby ni zaidi ya three points!Mechi yake ya kwanza Europa alifunga, mechi yake ya kwanza ya ligi alifunga, derby yake ya kwanza pia kafunga and become the youngest player kufunga kwenye derby ya Manchester, THE FUTURE IS BRIGHT
Sasa hayo mavitabu yote ya nini siangeyacha kwenye dawati....[emoji12]
Kumbe huwa anainuka kwenye benchi?!!!
Yaah almarhum eddo boy pia kabunda jina lake lingine la utani aliitwa msudan yaani duh akisimama yeye na Godwin aswile(scania)palikuwa padogoSource ya jina Ninja unaikumbuka? Alimpa Edward Chumilla miguu miwili ya kifua!
Hayache[emoji15] [emoji15] . We unata wachungulie anachoandika?Sasa hayo mavitabu yote ya nini siangeyacha kwenye dawati....[emoji12]